WAZIRI MKUU AITAKA TOA KUWA SEHEMU YA MABADILIKO CHAYA YA SERIKALI ZA MITAA
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amefungua mkutano Mkuu wa 15Â wa Taasisi ya Maboresho ya Serikali za Mitaa Tanzania (TOA)Â na amewataka viongozi waendelee kuimarisha taasisi hiyo ili iwe na nguvu na iweze...
View ArticleCHAMA CHA MAWAKILI WA SERIKALI CHAPIGA HATUA KUBWA KWA ONGEZEKO LA WANACHAMA
Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Doto Biteko akimkabidhi tuzo Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza Johari kwa mchango wake kama mlezi wa Chama cha Mawakili wa serikali...
View ArticleTPDC, ZPDC ZAENDELEA KUSHIRIKIANA UENDELEZAJI SEKTA YA GESI NCHINI
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) mwezi Februari, 2022 liliingia makubaliano ya ushirikiano na Shirika la Maendeleo ya...
View ArticleWAZIRI MKUU: MIFUKO YA UWEZESHAJI WANANCHI YATOA SH. TRILIONI 3.5
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema shilingi trilioni 3.5 zimetolewa na mifuko ya uwezeshaji wananchi kiuchumi iliyopo nchini kwa wanufaika zaidi ya milioni 24 ambapo kati yao, wanawake ni zaidi ya...
View ArticleACT WAZALENDO YATANGAZA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Doroth Semu amesema chama hicho kitashiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu licha ya baadhi ya vyama kutangaza kutoshiriki uchaguzi huo....
View ArticleWAZIRI KOMBO AFANYA MAZUNGUMZO NA BANDARI YA KIMATAIFA YA ANTWERP
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mshariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na uongozi wa Bandari ya Kimataifa ya Antwerp Aprili 16, 2025Waziri wa...
View ArticleWASIRA: USHINDI WA CCM NI NGUVU YA WANANCHI SIO POLISI
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira akisalimiana na Muadhama Kadinali Protase Rugambwa alipokutana naye katika Jimbo Kuu Katoliki la Tabora, mjini Tabora leo...
View ArticleNDEJEMBI AAGIZA KUBOMOLEWA NYUMBA ILIYOJENGWA ENEO LILILOVAMIWA
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amemwelekeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma kuchukua hatua za haraka za kuvunja nyumba iliyojengwa katika kiwanja...
View ArticleMAJALIWA AIPA MAAGIZO TANROADS UKARABATI WA BARABARA NA MADARAJA
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa maagizo kwa Mameneja wa Wakala ya Barabara nchini (TANROADS) kufanya ukaguzi wa mara kwa mara kwenye madaraja na makalavati yote ya barabara kuu nchini ili kuepuka...
View ArticleBENKI YA CRDB, COSTECH WASAINI MKATABA WA SHILINGI BILIONI 2.3 KUWEZESHA...
Dar es Salaam. Tarehe 17 Aprili 2025: Katika kuimarisha ubunifu na ujasiriamali miongoni mwa vijana nchini, Benki ya CRDB kupitia taasisi yake ya CRDB Bank Foundation na Tume ya Taifa ya Sayansi na...
View ArticleKANUNI ZA MAADILI YA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI ZA MWAKA 2025
 BOFYA HAPA KUSOMA KANUNI ZA MAADILI YA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI ZA MWAKA 2025
View ArticleVITONGOJI 82 TARIME VIJIJINI KUPELEKEWA UMEME NA MRADI WA HEP IIB-KAPINGA
Vitongoji 82 ambavyo bado havijafikiwa na umeme katika Wilaya ya Tarime mkoni Mara vitapelekewa umeme kupitia Mradi wa Kupeleka Umeme Vitongojini Awamu ya Pili BÂ (HEP IIB) ambapo tayari zabuni ya...
View ArticleJAB YASHIRIKI KIKAO KAZI CHA MAAFISA UTAMADUNI NA MAENDELEO YA MICHEZO JNICC
Na Mwandishi Wetu.Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari, Wakili Patrick Kipangula ameshiriki Kikao Kazi cha Kimkakati cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo...
View ArticleBALOZI DKT. NCHIMBI AANZA ZIARA YA SIKU TANO MARA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na wananchi wa Bunda, aliposimama kuwasalimia, akiwa njiani kuelekea Musoma, Jumanne, tarehe 22 Aprili 2025....
View ArticleTUME YAANZA KUKUTANA NA WADAU KATIKA MAJIMBO YALIOOMBA KUGAWANYWA
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza wakati akiongoza kikao cha pamoja kati ya Tume na wadau wa uchaguzi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Magu...
View ArticleTULINDE, TUENZI UTAMADUNI KWA MANUFAA YA VIZAZI VYETU- MAJALIWA
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Watanzania wana wajibu wa pamoja wa kuhakikisha urithi wa utamaduni wa Taifa unalindwa, unaenziwa na kuendelezwa kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho. Amesema...
View ArticleWASIRA: VIONGOZI WA DINI WAMETUTIA NGUVU KUENDELEA NA UCHAGUZI MKUU
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira akizungumza na wanachi katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Bahi alipotembelea Halmashauri ya Wilaya ya Bahi mkoani...
View ArticleWAZIRI MKUU MAJALIWA BUNGENI DODOMA LEO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu, bungeni jijini Dodoma, Aprili 23, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana...
View ArticleRAIS DKT. SAMIA ASAINI TAMKO LA TOLEO LA SHERIA ZILIZOFANYIWA UREKEBU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini Tamko la kuzindua Toleo la Sheria za Tanzania zilizofanyiwa urekebu la mwaka 2023 kwa mujibu wa kifungu cha 12 cha Sheria...
View ArticleWAZIRI MAVUNDE: AELEKEZA KUPITIWA UPYA UTARATIBU WA MALIPO YA MRABAHA KWA...
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amesema kuwa kuanzia tarehe 1 Julai, 2025, mfumo wa ulipaji mrahaba (royalty) kwa wachimbaji wa madini ya metali (base metals) kwa biashara ya ndani ya nchi...
View ArticleSEKTA YA MADINI YAFIKIA MCHANGO WA ASILIMIA 10.1 KATIKA PATO LA TAIFA
Wizara ya Madini imetangaza kuwa Sekta ya Madini nchini Tanzania imepiga hatua kubwa ya kihistoria kwa kufikia mchango wa asilimia 10.1 katika Pato la Taifa mwaka 2024, ikiwa ni mwaka mmoja kabla ya...
View ArticleBALOZI NCHIMBI AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU CCM MKOA WA MARA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Mara, kwenye kikao cha ndani kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi...
View ArticleTANZANIA-CANADA KUSHIRIKIANA KUENDELEZA SEKTA YA MADINI NCHINI
Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde na Balozi wa Canada nchini Tanzania Mh. Emily Burns leo wamekutana Jijini Dodoma na kufanya kikao juu ya maendeleo ya sekta ya madini nchini.Balozi Emily Burns...
View ArticleBALOZI NCHIMBI: WAJUMBE WA CCM KURA ZA MAONI SIKILIZENI WANANCHI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema CCM itahakikisha inateua wagombea wazuri wanaokubalika kwa wapiga kura, akiwataka wajumbe wa vikao vya kura za maoni...
View Article