
Mkurugenzi wa Tan Communication Media inayo miliki kituo cha Radio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha Bw Robert Francis wakati akifuturisha,hafla iliyofanyika katika studio za redio hiyo zilizopo Njiro jijiniArusha iliyoudhuriwa na Viongozi wa dini na wadau wengine

Sheikh Mkuu wa Bakwata mkoa wa Arusha,Shaaban Juma aliyekuwa mgeni rasmi katika halfa hiyo iliyoandaliwa na kampuni ya Tan Communication Media

Mbunge wa Arusha Godbless Lema wa pili kutoka kushoto naye alihudhuria halfa hiyo

Mkurugenzi wa Tan Communication Media inayo miliki kituo cha Radio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha Bw Robert Francis akiwa na mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema

David Lwekiza Rwenyagira ambaye pia ni mtangazaji wa kituo hicho ndiye aliyekuwa MC

Mchekeshaji kutoka nchini kenya Peter Sankale maarufu kama "Olexander Jospat"katika igizo la VIOJA MAHAKAMANI akitoa burudani baada ya Futari












Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Arusha, Isaack Joseph akikaribishwa na mkurugenzi wa kituo hicho Robert Francis

Mkurugenzi wa kituo cha Redio 5 Robert Francis akisalimiana na mke wa Mbunge wa Arusha

Wafanyakazi wa Redio 5