Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10598

MAMLAKA YA USAFIRIWA ANGA TANZANIA (TCAA) WAPEWA ENEO LA KUJENGA CHUO CHAKE NA MKOA WA PWANI.

$
0
0
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) Dk. Nyamajeje Weggoro (wapili  kulia) akifafanua jambo  kwa wajumbe wenzake juu ya ujenzi wa Chuo chake cha  Usafiri wa Anga (CATC)  wakati walipotembelea eneo la mradi huo uliopo Fukayose Bagamoyo mkoa wa Pwani .Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi Mbwana Mbwana (tikakati) ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TCAA Charles Chacha,wengine kutoka kushoto ni wajumbe  Hanif  Malik ,Yussuf . Ali na katibu wa Bodi Vallery  Chamulungu.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10598

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>