Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10595

NAPE AMALIZA MGOGORO WA WAFANYAKAZI WA UHURU PUBLICATIONS

$
0
0
 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye (wapili kushoto) akiagana na Kaimu Mhariri Mtendaji wa Uhuru Publications, Ramadhani Mkoma (wapili kulia), baada ya kuzungumza na wafanyakazi hao na kuumaliza mgogoro huo ulio kuwa ukiendelea,  kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi Moses Makambi
  Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, akiagana na baadhi ya wafanyakazi hao baada ya kuzungumza Dar es Salaam leo
 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye katika Picha ya pamoja baada ya kuumaliza mgogoro wa Wafanyakazi wa Kampuni ya Uhuru Publications, Dar es Salaam
 Wafanyakazi wa  Uhuru Publications katika Picha ya pamoja na  Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, baada ya kuumaliza mgogoro uliokuwa ukiendelea
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye katika picha na baadhi ya  wafanyakazi wa kampuni hiyo baada ya mazungumzo ya kutatua mgogoro huo leo
Afisa Mauzo wa Uhuru Publications Uwezo Kasongo akiwa amebebwa na Mhasibu wa kampuni hiyo , Paul Mng'ong'o. SOURCE Ujijirahaa blog.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10595

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>