Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10591

TAWI LA CRDB INYENYERI NCHINI BURUNDI

$
0
0
Tawi la kwanza la benki ya CRDB lijulikanalo INYENYERI jijini Bujumbura,nchini Burundi.

Sehemu ya huduma za ATM.


Gari linalotoa huduma za kibenki kwa kuwafikia walipo jijini Bujumbura. Kutokana na mafanikio makubwa katika sekta za kibenki ,Benki ya kwanza kutoka nchini Tanzania ya CRDB  inajivunia mafanikio yake ya kua na tawi lake nchini Burundi liitwalo Inyenyeri.

Mafanikio hayo yanatokana na uongozi shupavu wa Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo,Dk Charles Kimei na Bodi nzima yaliyowezesha mafanikio hayo.

Kutokana na hatua hiyo mipango ya kufungua matawi zaidi nchini Burundi  katika mikoa mbalimbali inafanyika baada ya usalama kuimarika kwa kiwango kikubwa.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10591

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>