UTT-AMIS YAFANYA MKUTANO WA TATU WA WAWEKEZAJI
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Uwekezaji Nchini (UTT-AMIS), Prof. Joseph Kuzilwa akizungumza wakati wa Mkutano Maalum wa Tatu wa Wawekezaji uliofanyika jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi...
View ArticleKanisa la HHC Catherdral la jijini Mwanza lawakaribisha kwenye Kongamano Baraka
Kanisa la HHC Catherdral lilopo Ilemela Mwanza linakukaribisha kwenye kongamano baraka la kujengwa kiuchumi tarehe 3-12-2014 na 4-12-2024.Wahubiri ni Bishop Joseph Njoroge toka...
View ArticleTASWIRA KATIKA MAHAFALI YA TISA YA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE DAR...
Naibu Waziri wa Sheria na Mambo ya Katiba, Angellah Kairuki Naibu Waziri wa Sheria na Mambo ya Katiba, Angellah Kairuki (kushoto), akimkabidhi cheti Muhitimu aliyefanya vizuri Shahada ya Kwanza ya...
View ArticleKAMPUNI YA MABATI YA ALAF YATOA MSAADA WA MABATI KWA AJILI YA UJENZI WA...
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk. Norman Sigallah King na Meneja wa ALAF tawi la Mbeya, Greyson Mwakasege wakikabidhiana mabati 284 kwa ajili ya ujenzi wa maabara katika shule za sekondari za Kata. Mkuu wa...
View ArticleKALA JEREMIAH AFANYA UZINDUZI WA VIDEO NA AUDIO YA NYIMBO YAKE MPYA YA...
Kala Jeremiah akichana mistari.Mwanamziki wa Hip hop, Kala Jeremiah amezindua video yake ya Wimbo Usikate Tamaa aliomshirikisha Nuruwell katika Ukumbi wa Maisha Club, jijini Dar es Salaam usiku wa...
View ArticleJEBBY AMERUDI NA WIMBO MPYA
Msanii wa siku nyingi wa kundi la TMK UNIT jebby anatatajia kuachia wimbo wake mpya kuanzia tarehe 25 mwenzi huu au tareha 5 mwezi wa kumi na mbili mwaka huu.Akizungumza na mtandao huu amesema kuwa...
View ArticleMBUNGE KABATI ATAKA WANANCHI WASIPOTOSHWE JUU YA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA
Na MatukiodaimaBlogMBUNGE wa viti maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati (CCM) amewakata wananchi kutokubali kudanganywa na vyama vya siasa vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi (UKAWA)...
View ArticleAZAM YAJA NA PROMOTION YA MTONYO CHAPCHAP KWA WATEJA WAKE WAPYA NA WAZAMANI...
Meneja Masoko na Mauzo wa Azma Media, Mgope Kiwanga (kushoto),Ofisa Masoko na Mauzo, Shah Mrisho (kati) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam Media Limited, Rhys Torringotn wakiwa katika mkutano na wanahabari...
View ArticleTUZO ZA FILAMU TANZANIA ZAZINDULIWA RASMI
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel, akiongea neno wakati wa uzinduzi wa Tuzo za filamu Tanzania chini ya Shirikisho la Filamu Tanzania....
View ArticleMPIGIE KURA MISS TANZANIA 2013 KATIKA SHINDANO LA MISS WORLD 2014
VOTING HAS OPENED!You can now register your votes for your Favourite contestants on the Miss World App, and its FREE!Download the Miss World App on iOS & Android now and you can vote for your TOP...
View ArticleGAPCO YAZINDUA KADI MAALUM ZA SAFARI ZITAKAZOWEZESHA DEREVA KUPATA UNAFUU WA...
Rais wa Reliance Industries Limited ya Mumbai, Ashok Dhar akipongezana na Diwani wa Kata ya Kariakoo, Abdulkarim Masamaki (wa tatu kushoto) baada ya kuzindua kadi maalum za Safari za kampuni hiyo...
View ArticleTANGAZO LA MSIBA KUTOKA FAMILIA YA NDG SEBASTIAN MGIMBA WA DAR ES SALAAM -...
Marehemu Mathew Sebastian Mgimba Enzi za Uhai Wake.2Timotheo 4:7 Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza Imani nimeilindaFamilia ya Ndugu Sebastian Mgimba inasikitika kutangaza kifo cha...
View ArticleUhuru Marathon wazindua mpango wa ujenzi wa kituo cha michezo Jakaya Kikwete...
Mratibu wa Uhurumarathon Innocent Melleck kulia akizungumza na waandishi habari jijini Dar Es Salaam juu ya Mbio za uhuru kuanzisha mpango wa kuzindua kituo cha michezo eneo la Msoga linalijulikana kwa...
View ArticleBRIGITTE ALFRED FOUNDATION YASHEREHEKEA MAFANIKIO YA VIJANA
Mwenyekiti Mtendaji wa Taasisi ya BAF (Brigitte Alfred Foundation) na Miss Tanzania 2012,Bi. Brigitte Alfred akimtumza mmoja wa vijana wenye ulemavu wa ngozi (albino) ambao wako chini ya Taasisi...
View ArticleWATANZANIA TUMPE SUPPORT MISS TANZANIA HAPPINESS WATIMANYWA KWENYE SHINDANO...
Mwakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Miss World 2014, Miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa (wapili kulia)wakifurahia siku ya kuzaliwa ya mshiriki mwezao kutoka nchini Colombia, Jessica...
View ArticleSHIRIKA LA WANAWAKE KATIKA SHERIA NA MAENDELEO AFRIKA (WiLDAF) LAADHIMISHA...
Wanaharakati kutoka shirika la WiLDAF wakiwa katika maandalizi ya matembezi ya maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia yaliayoanzia viwanja vya Mnazi mmoja na kuishia katika Ukumbi wa...
View ArticleKINANA NA UJUMBE WAKE WATIMNGA WILAYANI NANYUMBU MKOANI MTWARA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara baada ya kupokea taarifa za chama na serikali juu ya utekelezaji wa ilani ya...
View ArticleMRAZILI MPYA WA YANGA EMERSON DE OLIVERIA NEVES ROUQE ATUA DAR LEO KWA MAJARIBIO
Nyota mpya wa Klabu ya soka ya Yanga ya Dar es Salaam, anayekuja kufanya majaribio ya kuziba nafasi ya Mbrazili mwenzake Genlson Santos 'Jaja', Emerson De Oliveria Neves Rouqe akitoa ishara ya dole...
View Article