TANZANIA YAUNGANA NA MATAIFA MENGINE KUADHIMISHA MIAKA 70 YA USAFIRI WA ANGA...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaaban Mwinjaka akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu maadhimisho ya miaka 70 ya Usafiri wa anga duniani yanayoendelea nchini...
View ArticleMAZISHI YA MRAKIBU WA POLISI CAPT.KIDAI SENZALA ALIYEFARIKI KATIKA AJALI YA...
Maafisa wa Polisi wakiwa wamebeba sanduku lililohifadhi mwili wa Marehemu Capt. Kidai Senzala Kalise aliyefariki Novemba 29 mwaka huu katika ajali ya Helkopta iliyotokea Kipunguni B-Moshi Bar Dar es...
View ArticleTBL YAMKABIDHI KAMANDA MPINGA RIPOTI YA UPIMAJI AFYA ZA MADEREVA NCHINI
Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Stephen Kilindo,(kushoto), akimkabidhi Kamanda Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamishna Mohammed Mpinga. Ripoti ya Upimaji wa...
View ArticleMBUNIFU WA MAVAZI SHERIA NGOWI AKUTANA NA WAZIRI MKUU PINDA
WaziriMkuu, MizengoPinda akisalimiana na Mbunifu wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi alipotembelewa jana nyumbani kwake Masaki jijini Dar esSalaam. Mbunifu wa kimataifa wa Mavazi, Sheria Ngowi...
View ArticleWANACHUO WAWILI WA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE) DODOMA WAPATA GPA YA 4.9
Bw. Peragius Cosmas mwanafunzi aliyehitimu shahada ya Uhasibu na kupata GPA 4.91 akipokea cheti cha pongezi kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha CBE Prof.Emanuel Mjema.Bi. May Issa mwanafunzi aliyehitimu...
View ArticleSUMATRA YATAHADHARISHA WANAOSAFIRI KIPINDI CHA MSIMU WA SIKU KUU ZA MWISHO WA...
Katibu Mtendaji wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafi wa nchi kavu na Majini, Dk Oscar Kikoyo akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es salaam leo juu ya hali ya usafiri...
View ArticleMICHEZO YA BANDARI 2014 MJINI MTWARA YAFUNGLIWA RASMI
Mrusha mkuki, Mathias Shija kutoka Bandari za Maziwa akijaribu kete yake katika mchezo huo. Mrusha mkuki kutoka Bandari Dar es Salaam akijaribu kete yake katika mchezo huo. Suleiman Mwalilo a.k.a...
View ArticleMAKAMU WA RAIS WA BUNGE LA ULAYA AKUTANA NA VIONGOZI WA CHADEMA NCHINI UBELGIJI
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demoikrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Profesa Abdalla Safari na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Salum Mwalimu wakiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais wa...
View ArticleAHADHARI KUTOKA MICHUZI MEDIA GROUP
MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA MICHUZI MEDIA GROUP (MMG) ANAPENDA KUTAHADHARISHA WADAU POPOTE WALIPO KUHUSIANA NA UJUMBE (PICHANI) AMBAO UPO KWENYE FACE BOOK NA HATA KWENYE TWITTER) KWAMBA UJUMBE...
View ArticleLADY JAYDEE: KAMWE SITARAJII KUFANYA SIASA MIMI NI MUZIKI TU
Mwanamuziki Judith Wambura 'Lady Jaydee' Lady Jaydee akisoma gazeti la Staa Spoti. Mhariri Msaidizi wa Gazeti la Jambo Leo, Frank Balile (kulia), akimuelekeza jambo Lady Jaydee wakati akimuonesha...
View ArticleMANJU MSITA KUPEPERUSHA BENDERA MOZAMBIQUE FASHION WEEK 'MFW-2014'
Mbunifu wa Mavazi nchini Manju Msita kulia akizungumza na waandishi wa habari juu ya ushiriki wake katika Mozambique Fashion Week yatakayoanza desemba 10 mpaka 14 ambapo atakuwa akipeperusha bendera ya...
View ArticleAirtel yatoa vifaa vya michezo vyenye thamani ya sh mil 15 kwa chuo kikuu cha...
Meneja Masoko wa Airtel Tanzania, Aneth Muga (kushoto) akikabidhi jezi kwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Yunus Mgaya, wakati Airtel ilipokikabidhi chuo hicho msaada wa vifaa...
View ArticleTanzania Seeks Out Sunderland FC to Promote Its Tourism. What is Kenya Doing?
As Kenya grapples with insecurity and the consequent ailing tourism, her neighbor Tanzania is confidently striding across the borders to replenish its parks with international visitors.A closer look at...
View ArticleKAMATI YA MUDA YA BLOGGERS TANZANIA YAANZA KUPITIA RASIMU YA KATIBA YAO
Mwenyekiti wa Muda wa Wamiliki wa Mitandao ya Jamii Tanzania (Bloggers), Joachim Mushi (wa pili kushoto), akizungumza wakati akifungua majadiliano kwa wajumbe wa kamati ya muda ya wamiliki wa mitandao...
View ArticleMAONYESHO YA KIMATAIFA YA ELIMU KUANZA DISEMBA 17-21, 2014 JIJINI DAR
Mkurugenzi Mtendaji wa Global Education Link, Abdulimalik Mollel, akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani)Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.Kampuni ya Global Education Link (GEL) kwa...
View ArticleRADIO 5 WAANDA “KAMPENI YA RADIO 5 VIWANJANI”MSIMU HUU WA SIKUKUU YA XMASS NA...
Radio 5 FM 105.7 imeandaa "kampeni ya RADIO 5 viwanjani" katika mkoa wa Arusha ambapo itawakutanisha watangazaji na madjs na wasikilizaji wao katika kumbi za starehe kwa takribani wiki tano ikiwa ni...
View ArticleEMERSON WA YANGA YULEEEE JUKWAANI
Siku chache baada ya kuwasili nchini kwa Mchezaji kutoka Brazili,Emerson de Oliveira Neves Roque aliyekuja nchini kyufanya majaribio ya kusakata kabumbu na wakali wa mtaa wa Jangwani Yanga Afrika,...
View Article