KINANA AMWAGIA SIFA LOWASSA
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Abdulrahman Kinana (fulana ya njano) akipokelewa na Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa katika kata ya Makuyuni, Wilaya ya Monduli...
View ArticleBASI LA ARUSHA EXPRESS NA BASI LA SIMUYU YA[PATA AJALI KATIKA MAENEO TOFAUTI...
AJALI mbili zimetokea hii leo katika mikoa tofauti na kuyahusisha mabasi ya Arusha Express na ile ya Simuyu Express na kusababisha vifo.Basi la Arusha Express lilipata ajali katika Eneo la Kisongo...
View ArticleSABA MBARONI KWA UPIGAJI RAMLI CHONGANISHI MKOANI DODOMA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu saba kwa kosa la kujihusisha na upigaji Ramli chonganishi na imani za ushirikina. Katika msako maalum uliofanyika kuanzia tarehe 09/03/2015 Wilaya ya...
View ArticleMAKONDA AKAGUA MIUNDOMBINU YA BARABARA NA MADARAJA KATIKA WILAYA YAKE
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (wa pili kushoto), akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Kampuni ya Delmonte (T) Ltd, Theophile Kireo (mwenye kofia), ambayo kampuni yake inakarabati...
View ArticleNHIF KUPIMA AFYA NA KUKUSANYA DAMU KWA USHIRIKIANO WA MPANGO WA TAIFA WA DAMU...
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Michael Mhando akizungumza na Waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusiana na zoezi la upimaji afya na kukusanya damu salama kwa...
View ArticleBASI LA OSAKA LAPINDUKA BAADA YA KULIGONGA TELA DODOMA CHANZO MWENDO KASI NA...
Basi lenye namba za usajili T. 197 Scania mali ya kampuni ya OSAKA likiwa limepinduka baada ya kugonga tela lililokuwa limeharibika njiani.Mnamo tarehe 13/03/2015 majira ya saa 23:34hrs huko barabara...
View ArticleNAULI ZA TRENI YA DELUXE KUANZIA APRILI 01, 2015 DAR -KIGOMA/MWANZA
Dar -Dodoma daraja la kawaida TZS 18,500, Daraja 2 Kukaa TZS 24, 700 Kulala: 41,200 Dar -Tabora kawaida 25,400, Daraja la 2 Kukaa 33,900 Kulala 56,500; Dar - Kigoma kawaida 35,700, Daraja la 2 Kukaa...
View ArticleWanaoua albino wamuhofie Mungu - IPTL
Katibu na Mshauri Mkuu wa Sheria wa Makampuni ya IPTL na PAP, Bw. Joseph Makandege (kushoto) akimkabidhi balozi wa kujitolea wa Imetosha Foundation, Henry Mdimu mfano wa hundi ya shilingi milioni 10...
View ArticleBARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI(NACTE)LINAKARIBISHA MAOMBI YA KUJIUNGA NA...
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt. Primus Nkwela (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye Makao makuu ya ofisi hizo Mikocheni B jijini Dar es...
View ArticleThe Entrepreneurs’ Organization launches in Dar-es-Salaam
The Entrepreneurs Organisation (EO) Tanzania Founding Team with Chapter President, Nicholas Thiede, EO East Africa President Sriram Bharatam (centre) and incoming Global Chairman Gilberto Crombe...
View ArticleWAANDAMANA KWENDA KWA LOWASA KUMSHAWISHI ATANGAZE NIA YA KUGOMBEA URAIS 2015
Makundi mbalimbali ya kijamii ya mikoa ya Kaskazini, inayojumuisha mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Arusha na Manyara wakiwa wanaandamana kwa pamoja kuelekea kwa mbunge wa jimbo la monduli hii leo Katibu...
View ArticleWABOGOJO USO KWA USO NA MCHEZA FILAMU MAARUFU MAREKANI WOOD HARRELSON
Mwanasarakazi Mtanzania Othman Ford maarufu Wabogojo akiwa katika picha na mkali wa filamu kutoka nchini Marekani Woodrow Tracy "Woody" Harrelson wakati Woody na wenzake walipotazama show yao huko...
View ArticleBalozi Juma Mwapachu awa Mwenyekiti Bodi ya Wakurugenzi Airtel Tanzania
KAMPUNI tanzu ya Bharti Airtel inayoongoza katika utoaji wa huduma za simu za mkononi ikifanyakazi katika nchi 20 Asia na Afrika, leoimemteua Balozi Juma Volter Mwapachu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya...
View ArticleMOTO WAUNGUZA VYUMBA VYA WANAFUNZI MABIBO HOSTEL DAR ES SALAAM LEO
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) wanaoishi kwenye Hostel za Mabibo,wakiangalia moja ya majengo ya Hostel hizo likiwa limeshika moto asubuhi hii.Chanzo cha moto huo bado...
View ArticleImetosha Movement Kufanya Matembezi Hisani Machi 28
Balozi wa Kujitolea wa Harakati za 'Imetosha Movement', Henry Mdimu (kulia) akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wajumbe wa kamati ya taasisi ya 'Imetosha Movement' na...
View ArticleHAPPY BIRTHDAY MAMA MZAZI WA BLOGGER FATHER KIDEVU
TAREHE ya leo ni ndio aliyo zaliwa Mama mzazi wa Blogger na Mpigapicha nguli Tanzania, Mroki Mroki, Bi. Mary O.Nathan (pichani) wa Kinyenze, Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro ambaye leo anatimiza...
View ArticleLUKUVI AMEANZA ZIARA MKOANI ARUSHA
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Vangimembe Lukuvi akiingia jengo la Utawala la Mkoa wa Arusha ili kukutana na Uongozi wa Mkoa huo kupata taarifa ya Mkoa inayohusu migogoro...
View ArticleKAMPUNI YA UCHIMBAJI MADINI YA ACACIA YATOA TUZO KWA WAFANYAKAZI WAKE
Meneja wa usalama na operesheni wa mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu, Kamishna Msaidizi wa Polisi (mstaafu), Abdallah Mssika, (katikati), akipokea tuzo ya umahiri ya ‘cacia CEO Excellence Award 2014’ na...
View ArticleZITTO KULIAGA RASMI BUNGE HII LEO.
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Kabwe Zubeir Zitto ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), huenda muda si...
View Article