LOWASSA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI MPANDA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia kwenye Mkutano huo, uliofanyika kwenye...
View ArticleJUA YALIYOJIRI LEO 04/09/2015 KURASA ZA MBELE NA NYUMA MAGAZETI YA TANZANIA
Soma MAGAZETI mengine >>>>FK MATUKIO
View ArticleKONGAMANO LA TANZANIA YAZIWEKA DATA ZA UMMA KUWA KITOVU CHA AJENDA YA MAENDELEO
DAR ES SALAAM, Septemba 4, 2015—Zaidi ya wawakilishi 400 kutoka kwenye serikali, vyuoni, sekta binafsi, asasi za kiraia na mashirika ya kimataifa ya maendeleo wanakutana katika jiji la Dar es Salaam...
View ArticleMGOMBEA MWENZA WA CCM AFANYA KAMPENI JIJINI TEMEKE DAR
Mgombea Mwenza wa Urais kwa timeti ya CCM, Mama Samia suluhu Hassam akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa kampeni aliofanya jana, Septemba 3, 2015 katika Kata ya Buza jimbo la Temeke mkoani...
View ArticleTIMU YA TAIFA YAONDOKA KUELEKEA CONGO BRAZAVILLE KWA KUTUMIA NDEGE YA TAIFA
Afisa Michezo wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Gordon Nsajigwa akimpatia mmoja wa wachezaji wa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya wanawake tiketi jana jioni tayari kwa safari ya...
View ArticleSUPERSPORT KWENDA LAIVU ALL AFRICAN GAMES
Meneja Mkuu wa SuperSport kwa ukanda wa Kusini mwa Afrika, Graeme Murray akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari kutoka nchi za Afrika (hawapo pichani) katika hoteli ya OutriggerHotel &...
View ArticleBENKI YA DUNIA YAIDHINISHA DOLA ZA MAREKANI MILIONI 80 KUJENGA AJIRA TANZANIA
Bodi ya Wakurugenzi Watendaji wa Benki ya Dunia leo wameidhinisha mkopo wa maendeleo wa Dola za Marekani milioni 80 zinazolenga kuboresha utendaji katika sekta binafsi ya Tanzania, ili kukuza wajibu...
View ArticleSAMIA AFANYA KAMPENI KIBAMBA
Wananchi wakimshangilia mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama Samia Suhlu Hassan alipowasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Mbezi Centre, jimbo la Kibamba wilaya ya...
View ArticleTBS KUFANYA MSAKO MKALI NCHI NZIMA KUWABAINI WAUZAJI WA UMEME NURU 'SOLAR...
Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Nishati Jadidifu (TAREA), Mhandisi Mathew Matimbwi (katikati), akiwaonesha wanahabari Dar es Salaam leo asubuhi Umeme Nuru (Solar Power panels) ambazo hazina ubora...
View ArticleLOWASSA AINGIA KIGOMA KUSINI AMNADI KAFULILA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi, Mgombea Ubunge wa Jimbo la...
View ArticleMKWASA: TAIFA STARS IPO TAYARI KUWAVAA NIGERIA
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro, Charles Mkwasa amesema kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya Nigeria kuwania kufuzu kwa...
View ArticleWAZIRI WA KAZI NA AJIRA, GAUDENTIA KABAKA, AZINDUA BODI YA WAFHAMINI MFUKO WA...
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, (kulia), akiongozana na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), Masha Mshomba, wakati wakichukua nafasi zao kwenye uzinduzi wa Bodi ya...
View ArticleFOLENI KIBAMBA
Foleni ya Magari mchana huu eneo la Kibamba nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam hii leo mchana.
View ArticleLOWASSA ATIKISA TABORA
Aliekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Hamis Mngeja akiuhutubia Umati wa wakazi wa Mji wa Tabora, waliofutirika kwa wingi kwenye Uwanja wa Town School, kulikofantika Mkutano wa Kampeni za...
View ArticleSITOKUA TAYARI KUTOA MATUMAINI HEWA: MAGUFULI
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Ifakara wilayani Kilombero kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa wakati wake utakuwa wa...
View ArticleMGODI WA DHAHABU, BULYANHULU WATUMIA NUSU BILIONI KWA MWAKA KUFADHILI VIJANA...
Meneja Ufanisi wa Mgodi wa Dhahabu wa Bulyanhulu, BGML, unaomilikiwa na Kampuni ya Acacia, Elias Kasikila, (kushoto), akiagana na baadhi ya vijana wanaokwenda kuhudhuria mafunzo ya ufundi chini ya...
View ArticleMARY NAGU UZINDUA KAMPENI ZA CCM ARUSHA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sera Mahusiano na Uratibu Dkt.Mary Nagu akimnadi mgombea Ubunge pamoja na madiwa katika uzinduzi wa kampeni jimbo la Arusha mjini tarehe 5/9/2015 katika uwanja wa soko kuu...
View ArticleMAHAFALI YA DARASA LA SABA SHULE YA MSINGI GENIUS KING’S JIJINI DAR
Wahitimu wa darasa la saba kutoka shule ya Msingi Genius King’s iliyopo jijini Dar es salaam wakifuatilia hotuba ya Mgeni Rasmi Mhandisi Michael Mrema kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi...
View ArticleJUMA DUNI HAJI ANGURUMA JIJINI TANGA
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akihutubia mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Tangamano mjini Tanga. Wafuasi wa Ukawa wakifuatilia mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja...
View Article