MAMA WA PROF JAY AFARIKI KWA AJALI YA GARI MBEZI MWISHO
Mama Rosemary Majanjala ambaye ni mama mzazi wa Msani wa Muziki wa Kizaz kipya Joseph Haule maarufu PROF JAY aliyefarika jana usiku kwa ajali ya kugongwa na gari wakati akijaribu kuvuka barabara...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHANI MSIBA WA DKT. JUDITH KAHAMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kwenye Kitabu cha maombolezo ya Msiba wa marehemu Dkt, Judith Kahama, wakati alipofika kuhani msiba huo nyumbani...
View ArticleAfrican Lyon yapata hasara ya milioni 180.3
Meneja wa Fedha wa Timu ya Afrikan Lyon, Rahim Kangezi akifafanua jambo kuhusiana na mapato na matumizi ya klabu hiyo, kushoto ni Ibrahim Salim ambaye ni meneja wa fedha wa timu hiyo. Na Mwandishi...
View ArticleAIRTEL YATOA FUTARI KWA WATOTO YATIMA MIKOA MINNE
Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye hafla fupi ya makabidhiano ya vyakula vya kufuturisha watoto yatima atika vitu vilivyopo mikoa ya...
View ArticleWANAFUNZI SOMENI MASUALA YA AFYA, UALIMU MIFUGO NA KILIMO AJIRA ZIPO NJE NJE
Mkuu wa Kitengo Cha Mawasiliano Serikalini,Ofisi ya Rais Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bi. Riziki Abraham (kushoto) akizungumza na vyombo vya habari nchini juu ya Uendeshaji wa Mchakato...
View ArticleMAZISHI YA MGANGA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM DKT JUDITH KAHAMA MARO KATIKA...
Gari lililobeba mwili wa marehemu likiwasili katika makaburi ya Kinondoni kwa mazishiMume wa marehemu Profesa Maro akiwa katika gari hilo na watoto wakeProfesas Maro akiwasili makaburiniWaziri wa Afya...
View ArticleBENDERA ATEMBELEA KIWANDA CHA KIBUKU CHA DARBREW, DAR ES SALAAM
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera (kulia), akizungumza alipotembelea hivi karibuni Kiwanda cha Kibuku cha Darbrew, kilichopo Ubungo Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho,...
View ArticleTAIFA STARS SASA MMEIVA KUPAMBANA- TENGA
Rais wa TFF, Leodogar Tenga akizungumza na Waandishi wa HabariRais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzana (TFF), Leodegar Tenga amesema kikosi cha Taifa Stars sasa kina uwezo wa kushindana katika...
View ArticleMWANAFUNZI IFM AFA MAJI AKIOGELEA KIGAMBONI
Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza Uhandisi wa Kompyuta wa chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) Wendy Habakuki Lwendo amefariki dunia katika ufukwe wa bahari ya Hindi eneo la Kipepeo Kigamboni akiogelea na...
View ArticleEmirates hosts Iftar celebrations in Tanzania
Emirates Country Manager for Tanzania Abdulaziz Al Hai speaking to the Media during the Iftar dinner last evening in honour of its trade partners and the Media at the Hyatt Regency Dar es Salaam, the...
View ArticleMfuko wa Starkey Hearing watoa huduma za kutibu masikio kwa wakazi wa Dar
Mwanzilishi wa Mfuko wa Starkey Hearing William Austin akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam juu ya huduma ya vifaa vya kusaidia kusikia kwa watu wenye matatizo ya kusikia ambayo...
View ArticleMWANAFUNZI IFM KUZIKWA KESHO MAKABURI YA KINONDONI, NI WENDE LWENDO ALIYEKUFA...
Na Father Kidevu BlogMAZISHI ya Mwanafunzi na Rais wa Taasisi ya wanafunzi AIESEC- IFM, Wende Lwendo wa Mwaka wa Kwanza Uhandisi Kompyuta wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) aliyefariki juzi kwa kufa...
View ArticleRAIS KIKWETE ATUNUKU KAMISHENI MAAFISA WA JWTZ CHUO CHA MAFUNZI YA KIJESHO...
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli, Arusha, kabla ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa JWTZ...
View ArticleMAMA WA PROF JAY AAGWA NA KUZIKWA JIONI HII KINONDONI
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Joseph Haule akitoa heshima za mwisho kwa Mwili wa Marehem,u Mamayake aliyefariki dunia hivi karibuni kwa ajali ya gari Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam. Mazishi...
View ArticleMECHI YA TAIFA STARS, UGANDA YAINGIZA MIL 113/-; TAIFA STARS YAINGIA KAMBINI...
Mshambuliaji wa timu ya Taifa (Taifa Stars),John Boko (14) akiwa na mpira mbele ya Beki wa timu ya Uganda ( The Cranes) katika mchezo wa kuwania tiketi ya kucheza Kombe la mashindano ya Afrika kwa...
View ArticleMAMIA WAMZIKA WENDE LWENDO JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Mamia ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam leo wameungana na Familia ya Mchungaji, Habakuki Lwendo na wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) katika mazishi ya Binti yao Wende Lwendo aliyekuwa...
View ArticleRAIS KIKWETE KATIKA SHUGHULI YA UTOAJI VIFAA VYA KUONGEZA USIKIVU KWA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na mmoja wa wanafunzi wa shule ya walemavu wa kusikia ya Buguruni akiwa na mwanzilishi na mkuu wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation Bw. Bill Austin...
View ArticleWANAJESHI WALIOUWAWA DAFUR KATIKA SHAMBULIO KUREJESHWA NCHINI
The African Union – United Nations Mission in Darfur (UNAMID), held a memorial ceremony, in Nyala, the capital of South Darfur, to honor the seven fallen peacekeepers who lost their lives in the 13...
View ArticleJK AZUNDUA HUDUMA YA BENKI YA POSTA POPOTE LEO
Rais Jakaya Kikwete akizindua huduma mpya ya Benki ya Posta iitwayo TPB POPOTE mapema leo mchana kwenye hotel ya Serena jijini Dar ,hafla hiyo imewakutanisha wadau mbalimbali wa mambo ya kibenki na...
View Article