TFF YAWAPONGEZA WABUNGE, MADIWANI
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), limetuma salamu za pongezi kwa viongozi wa mpira wa miguu nchini waliochaguliwa kuwa wabunge na madiwani katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25,...
View ArticleRAIS KIKWETE AMPONGEZA DK MAGUFULI KWA KUCHAGULIWA RAIS WA AWAMU YA TANO WA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya...
View ArticleSAID NA SALMA WALIVYOMEREMETA
Bwana Harusi Said akimnywesha Shampein mkewe Salma wakati wa sherehe ya ndoa yao iliyofanyika kwenye Uukumbi wa Best Choice uliopo Tabata jijini Dar es Salaam, jana usiku ambapo wanandoa hao...
View ArticleHAFLA YA KUMKABIDHI CHETI DK JOHN MAGUFULI CHA KUCHAGULIWA KUWA RAIS WA...
Wakikionesha cheti kwa furaha Rais Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Makamu wa Rais Mteule Mama Samia Suluhu Hassan wakiwa na Mwenyekiti wa Chama cha UPDP Taifa Mhe. Fahmi Dovutwa katika...
View ArticleMFANYABIASHARA DAVIS MOSHA ATANGAZA KUTOGOMBEA TENA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI
Aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Moshi mjini,mfanyabiashara Davis Mosha akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Penfold kwa lengo la kuwashukuru wana CCM waliompigia...
View ArticleDISTRICT 9 WAIBUKA NA "Ee eh"
Kundi jipya la muziki linalojulikana kama District 9 limeibuka na kibao kikali kijulikanacho kama Ee ehDistrict 9 inaundwa na vijana ambao fani yao ya kwanza siyo muziki wala usanii ila wana vipaji vya...
View ArticleTANZANIA ACCEDES TO THE INTERNATIONAL CONVENTION FOR THE PROTECTION OF NEW...
On 22nd Oct 2015 The United Republic of Tanzania deposited the instrument of accession to Dr. Francis Gurry, Secretary General of International Union for Protection of New Varieties of Plant (UPOV) and...
View ArticleARUSHA KUWA MWENYEJI WA MAJADILIANO YA MASUALA YA KISHERIA BARANI AFRIKA
Na Kulwa Mayombi, EANAArusha, 1 Novemba 2015 (EANA)--ZAIDI ya wajumbe 200 wa kada ya sheria kutoka nchi mbalimbali za Afrika wanatarajia kuhudhuria mkutano wa siku tatu ya majadiliano kuhusu masuala ya...
View ArticleMATOKEO DARASA LA SABA 2015 HADHARANI UFAULI WA PANDA 10.8%
UFAULU wa watahiniwa wa mitihani ya shule ya msingi kwa mwaka 2015, umepanda kwa asilimia 10.85 huku shule za Kanda ya Ziwa zikifanya vizuri zaidi. Akitangaza matokeo hayo jana, Katibu Mkuu wa Baraza...
View ArticleMBUNGE MTEULE JIMBO LA MANONGA TABORA , SEIF KHAMIS GULAMALI (CCM) AWASHURU...
Akizungumza na wakazi wa Kata ya Choma, Mbunge mteule katika Jimbo la Manonga wilaya ya Igunga mkoani Tabora , Seif Khamis Gulamali (CCM) alisema ushindi wa kura 31,485 sawa na asilimia 67. 65 aliopewa...
View ArticlePUMZIKA WA AMANI MAREHEMU ANNETH CHRISTIAN KAJURA
Mume wa marehemu akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa mke wake Anneth Christian mwishoni mwa wiki iliyopita nyumbani kwa marehemu Mbezi Beach - SalaSala Jijini Dar es Salaam na baadae maziko...
View ArticleTWIGA YAENDELEA KUJIFUA KUWAVAA MALAWI
Timu ya Taifa ya Wanawake ‘Twiga Stars’ inayonolewa na kocha mkuu Rogasian Kaijage imendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Timu ya Taifa ya Wanawake ya Malawi utakaochezwa Novemba...
View ArticleSTARS YAWASILI AFRIKA KUSINI KWA KAMBI
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, kimeondoka leo saa 4 asubuhi kuelekea nchini Afrika Kusini kuweka kambi ya siku 10 kujiandaa na...
View ArticleHANDENI MJINI KURUDIA KURA ZA MAONI KESHO
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba.Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM iliyokutana leo,...
View ArticleTAWI LA CCM EMPRESS KWA MUSA MTAA WA SAMORA WASHEREHEKEA USHINDI WA DK. JOHN...
MBUNGE mteule wa Muleba Kaskazini (CCM) na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Charles Mwijage akisalimiana na Godson Kaligo Mjumbe wa tawi la CCM Epress Social lililopo mtaa wa Samora maarufu kwa Musa...
View ArticleWAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI WILLIAM LUKUVI AAGA RASMI...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi akipokea ngao yenye picha ya chui ikiwa ni ishara ya tuzo ya Shirika la Nyumba la Taifa kwa Waziri huyo kutoka kwa...
View ArticleUSHAWISHI KUHUSU MAANDAMANO YASIYO NA KIKOMO DODOMA
Kuna taarifa na ushawishi unaoendelea wa baadhi ya wanachama, Wafuasi wa Vyama vya Upinzani kutaka kufanya maandamano waliyoyaita yasiyo na kikomo. Najua wananchi wa Dodoma wangependa...
View ArticleKIKAO CHA MARIDHIANO ZFA
Kufuatia tishio la Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) la kutaka kuifungia Zanzibar ushiriki wa shughuli za mpira duniani, Rais wa TFF Jamal Malinzi alihitisha kikao cha usuluhishi. Kikao...
View Article