Quantcast
Channel: Father Kidevu
Browsing all 10583 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE WA TANZANIA AMPOKEA RAIS WA SERIKALI YA MPITO YA MADAGASCAR...

Rais wa Serikali ya Mpito ya Madagascar Mheshimiwa Andry Rajoelinaamewasili mjini Dar Es Salaam jioni ya leo , Ijumaa Mei 3, 2013 kwa ziara yakikazi ya siku mbili.Amepokelewa kwenye Uwanja wa Ndege wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFANYA BIASHARA COSTA SHIRIMA ALIYEDONDOKA GOROFANI KARIAKOO ALIKUWA AENDE...

TAARIFA za awali zina arifu kuwa Mfanya Biashara, Costa Shirima anaedaiwa kujirusha kutoka gorofa ya tisa ya Hoteli ya Concord iliyopo Kariakoo Jijini Dar es Salaam inaelezwa kuwa alikuwa asafiri na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NANCY MOSHI NDIYE REDD'S MISS ARUSHA CITY CENTRE 2013

Redd’S Miss Arusha City Centre 2013, Nancy Moshi akipunga mkono mara baada ya kutawazwa mshindi wa Taji hilo katika shindano lililofanyika Usiku wa kuamkia jana jijini Arusha. Nancy aliwashinda warembo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP MWEMA AWAVISHA NISHANI MAOFISA, WAKAGUZI NA ASKARI.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya utumishi mrefu Tanzania, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Charles Kenyela kwenye hafla ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NYUZZZZZZ.......: MLIPUKO MKUBWA WATOKEA JIJINI ARUSHA

taarifa iliyotufikia hivi sasa,inaeleza kuwa kuna mlipuko mkubwa umetokea hivi sasa wa kitu kinachosemekana kuwa ni bomu katika kanisa katoliki parokia mpya ya olasiti iliyokuwa inazinduliwa rasmi leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS TANZANIA, ASKOFU MKUU WA KKKT WAWAFARIJI MAJERUHI WA MLIPUKO...

  Makamu wa raisi Dkt Mohamed Gharib Bilal Pamoja na Stephen Masele wakiwapa pole majeruhi wa mlipuko wa bomu uliotokea majira ya saa 4;35 asubuhi kwenye uzinduzi wa kanisa la st.Joseph Mfanyakzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGARI YA KWAMA BARABARA YA DHARULA MOMBO MKOANI TANGA

TAKRIBAN saa moja mabasi na magari mengine ya mizigo makubwa kwa madogo yaliyokuwa yakitumia barabara kuu ya Mombo –Same yakitoka Arusha, Moshi  kwenda Dar es Salaam na Mengine Mikoa ya Pwani, Dar es...

View Article

TAZAMA VIDEO 2 ZA TUKIO LA MLIPUKO KATIKA KANISA KATOLIKI JIJINI ARUSHA...

ENEO LA TUKIO MLIPUKO ULIPOTOKEAMAJERUHI WAKIFIKISHWA HOSPITALI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA ZANZIBAR AWASILI PEMBA TAYARI KWA KUWASHA MWENGE WA UHURU

Rais wa  Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh, Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na baadhi ya viongozi wa jeshi na Usalama  wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Pemba, kwaajili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMKO LA RAIS JAKAYA KIKWETE WA TANZANIA JUU YA MLIPUKO KWENYE KANISA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa ya tukio la leo, Jumapili, Mei 5, 2013 la mlipuko kwenye Kanisa Katoliki la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYALANDU AWAJULIA HALI MAJERUHI WA MLIPUKO WA ARUSHA NA KUKABIDHI MADAWA YA...

Naibu Waziri wa mali asili na Utalii Lazaro Nyalandu mtoto ambaye ni majeruhi aliyeathiriwa maeneo ya tumbo katika mlipuko wa bomu ,akimtembelea majeruhi walioathirika na shambulio la bomu bomu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC WA NEWALA AKABIDHI BODABODA YA MIZIGO KWA KIKUNDI CHA VICOBA MANGO

Mkuu wa Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara, Christopher Magala akikabidhi pikipiki kwa kikundi cha Vikoba cha Kijiji cha Mango Kata ya Mtunguru. Magala akimkabidhi Pikipiki hiyo ya mizigo kiongozi wa Kundi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YATOA MSAADA WA VITABU KWA SHULE ZA SEKONDARI TANGA.

 Meneja Mauzo wa Airtel mikoa ya Tanga na Kilimanjaro Bw. Edmund Lasway akikabidhi baadhi ya vitabu vya sekondari kwa afisa elimu wa wilaya ya korogwe Bw. Shaaban Shemzighwa  ikiwa ni msaada ulitolewa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKATOLIKI MSILIPIZE KISASI BALI USHINDENI UBAYA KWA WEMA: ASK.LEBULU

KANISA la Katoliki, jimbo kuu la Arusha,jana limetoa tamko la kuitaka serikali iseme ni kina nani wamehusika na tukio la kigaidi la kushambulia kanisa lake la parokia ya Mtakatifu Joseph Mfanyakazi la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIMA KUZIKWA LEO KIJIJINI KWAO MWIKA MKOANI KILIMANJARO

MFANYABIASHARA Costa aliyefariki Mei 3 mwaka huu kwa kuanguka kutoka gorofa ya tisa ya Hoteli ya Concord iliyopo Kariakoo Jijini Dar es Salaam anataraji kuzikwa leo kijijini kwao Mwika Moshi Mkoani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA KUUNGANA NA KENYA NUSU FAINALI

Mei  mosi, jumatano iliyopita kupitia televisheni za  ITV na Clouds TV  katika kipindi cha 7 cha GUINNESS FOOTBALL CHALLENGE tuliona timu ya Tanzania,Daniel Msekwa na Mwalimu Akida Hamad ikifanikiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKWETE MGENI RASMI MAONESHO YA WIKI YA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII MEI 13

Mkurugenzi  Mkuu wa Mamlaka Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusu Wiki ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU 6 MBARONI WAKIWAMO WASAUDIA 4; FBI YATUA ARUSHA

Wakati maofisa wa Shirika la Upelelezi wa Marekani (FBI) wametua Arusha, raia wanne wa Saudi Arabia na Watanzania wawili wamekamatwa kwa tuhuma za kuhusika kulipua bomu lililoua watu wawili na kujeruhi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARI KUBWA KATIKA MAGAZETI YA LEO MEI 7, 2013 NCHINI TANZANIA

Hizi ndizo habari kubwa zilizojiri katika baadhi ya magazeti ya Leo Mei 7, 203 nchini Tanzania na kuuza katika kurasa za mbele.  

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOFU YA UGAIDI: MBUNGE AOMBA SPIKA KUIMARISHA ULINZI BUNGENI

MBUNGE  wa Jimbo la Simve kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Richard Ndasa amemuomba Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda kuhakikisha usalama wa Bunge unaimarishwa.Ndasa...

View Article
Browsing all 10583 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>