CHRISTINA NEWA ASIMULIA SAKATA LA MAUAJI ILALA
MLENGWA wa shambulizi la mauaji lililotokea Novemba 19, mwaka huu Ilala Bungoni jijini Dar es Salaam, Bi. Christina Newa, ameibuka na kuwalaumu polisi kwa kushindwa kuzuia mauaji yaliyosababishwa na...
View ArticleMAHAFALI YA UDOM PICHANI
Bendi ya Jeshi la Wananchi likiongoza masafara wa elimu kuelekea katika viwanja vya Chimwaga kwaajili ya Mahafali ya Nne ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) yaliyohitimishwa leo kwa Wahitimu Mbalimbali...
View ArticleMISS ILALA 2013 DORICE MOLLEL HANDS OVER 132 STORY BOOKS WORTH 200,000 TO...
Mkuki wa Nyota Editor Godance Mkuki(right) hands over 132 story books to Miss Ilala 2013 Doris Mollel at the Ukonga primary school premises in Dar es Salaam during the climax celebration of the...
View ArticleBingwa wa dunia ajitokeza Uhuru Marathon
Na Mwandishi WetuBINGWA wa dunia wa mbio za marathon, Edna Ngeringwony Kiplagat (pichani ) wa Kenya amejitokeza kushiriki zile za Uhuru Marathon zinazotarajiwa kufanyika jijini Dar ers Salaam Desemba...
View ArticleZITTO KABWE NA DR. KITILA MKUMBO WAZUNGUMZA
Mbunge wa Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Kabwe akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mapema leo,wakati akitoa taarifa yake ya kuhusu kuvuliwa nyadhifa mbalimbali ndani ya Chama cha...
View ArticleWafanyakazi wa Airtel watoa mafunzo ya Kompyuta
Mkuu wa mapato wa Airtel, Bw. Hoolass Lochee akiwafundisha kompyuta baadhi ya watoto wa shule ya msingi ya Kiromo iliyopo wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani ikiwa ni baada ya wafanyakazi wa Airtel...
View ArticleLIONS VCLUB YAKABIDHI KOMPYUTA 2 NA CHEREHANI 20 KATIKA SHULE YA MSINGI RAU...
Gavava wa Lions Club, katika nchi ya Tanzania na Uganda, Wilson Desanjo, akijimuika katika picha ya pamoja na viongozi wa Shule, Wanafunzi wa shule ya msingi ya Rau, pamoja na viongozi wa Klabu ya...
View ArticleKINANA AANZA ZIARA RASMI MKOANI MBEYA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Ipinda wilayani Kyela kwenye mkutano wa hadhara ambao ndio mkutano wake wa kwanza kama Katibu Mkuu wa CCM lakini pia ndio siku...
View ArticleMh. Lowassa aongoza harambee ya Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Kata ya...
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiburudika kwa kucheza muziki sambamba na wakina Mama wakazi wa Kata ya Saranga,Kimara jijini Dar es Salaam,Mwishoni mwa wiki...
View ArticleMAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA: MIAKA KUMI YA...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inasheherekea maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwake huku yakiwemo mafanikio makubwa dhahiri na ya kujivunia katika sekta ya mawasiliano nchini.TCRA...
View ArticleEAC/GIZ YAENDELEA KUTOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI
Mkuu wa Mawasiliano wa Katika Sekretariati ya Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC),Othieno Richard Owora akitoa mada kwenye mafunzo ya siku tatu ya waandishi wa habari kutoka nchi za EAC yanayofanyika...
View ArticleBENKI YA CRDB YASHEREHEKEA SIKU YA FAMILIA
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa sherehe ya Siku ya Familia iliyofanyika Kunduchi Hoteli jijini Dar es Salaama na kuwashirikisha wafanyakazi wa Benki hiyo...
View ArticleUNDERSTAND DIABETES
Mwezi Novemba ni mwezi wa ugonjwa wa Kisukari ( diabetes) Kwa mujibu wa kalenda ya afya , Kwa kuzingatia Hilo hospitali ya Doctors plaza (MOROCO BRANCH ) ikishirikiana na Lancet Laboratories tuna...
View ArticleTSN WAMFARIJI MRUMA, MWILI WA MWANAE JERRY WAWASILI DAR
Baadhi ya wanafamilia ndugu jamaa na marafiki wa familia ya Isaack Mruma wakiwa wamebeba sanduku lililohifadhi mwili wa marehemu Jerri Isaack Mruma ambaye ni Mtoto wa Mhariri Mtendaji wa zamani wa...
View ArticleKINANA ATEMBELEA WILAYA YA RUNGWE MASHARIKI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa nyumba za Walimu wa Shule ya Sekondari ya Mwakaleli. Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk.Asha-Rose Migiro akikata ubao...
View ArticleMAMIA WAMZIKA JERRY ISAACK MRUMA KINONDONI DAR ES SALAAM
Mwili wa Mtanzania Jerry Isaack Mruma aliyekuwa akisoma Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Marekani (USIU) tawi la Nairobi nchini Kenya akichukua Shahada ya Uzamili ya Utawala wa Biashara (MBA) aliuawa...
View ArticleKINANA:SERIKALI IPUNGUZE MATUMIZI YASIYO YA LAZIMA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kata ya Masoko ,kijiji cha Lupando wilaya ya Rungwe ,Katibu Mkuu waliwaambia wananchi hao kuwa urasimu na umangi meza wa watendaji wa...
View Article