PPF WAWAPIGA MSASA WANAHABARI JUU YA MAFAO YA MFUKO WAO NA KUJIUNGA
Mwandishi wa Habari Ndg Elias Mnonjera Daudi akijaza fomu ya kujiunga na Mfuko wa Pensheni wa PPF jana mara baada ya mkutano wa waandishi na wadau wa habari kumalizika katika Ukumbi wa Karimjee Jijini...
View ArticleJK AKAGUA MADARAJA YA KIJESHI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akikagua madaraja ya kijeshi yakiwemo yale ya kuelea juu ya maji wakati alipokagua zana za kijeshi jana,...
View ArticleKAMPENI ZA CCM KALENGA KATIKA VIJIJI VYA MSENGELINDETE, MAHANZI, UFYAMBE NA...
Mgombea ubunge Jimbo la Kalenga kupitia CCM, Godfrey Mgimwa akiwapungia wananchi wa Kijiji cha Msengelindete, Kata ya Uwassa, Iringa Vijijini alipowasili kufanya kampeni leo asubuhi. Wananchi wa...
View ArticleTASWIRA KADHAA ZA JIJI LA WINDHOEK NAMIBIA
Namibia ni moja ya nchi zilizopo Kusini mwa Afrika ikiwa na idadi ya watu wapatao2,113,077 hii ni kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2011. Namibia iliyopata uhuru wake Machi 21, 1990 na kabla ya hapo ilikuwa...
View ArticleSTARS KUSHIKA DIMBANI KUWAKABILI BRAVE WARRIORS YA NAMIBIA BILA NYOTA WAKE
Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' wakifanya mazoezi katika uwanja wa Sam Nujoma mjini Windhoek Namibia jana. Leo watashuka katika dimba hilo kuwakabili wenzao wa Namibia Brave...
View ArticleGODFREY MGIMWA ALAKIWA KAMA MFALME KIJIJINI KWAO MAGUNGA
Mgombea ubunge Jimbo la Kalenga, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Godfrey Mgimwa (kulia) akiwa na bibi yake, Consolata Semgovano wakipungia mikono wananchi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika...
View ArticleSTARS YAISHIKA SHATI BRAVE WARRIORS NYUMBANI
Timu ya Soka ya Tanzania, Tiafa Star imelazimishwa sare ya bao 1-1 na wenyeji Brave Warriors ya Namibia katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliochezwa usiku huu uwanja wa Sam Nujoma, Katutura-...
View ArticleAirtel yazindua huduma ya Breaking news kupitia simu
Afisa Mwendeshaji Mkuu wa Mwananchi, Francis Nanai akiwa na Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya simu ya Airtel Tanzania, Sunil Colaso wakati wa uzinduzi wa huduma ya kuwapasha habari wananchi kwa njia ya...
View ArticleMAMA AJIFUNGUA WATOTO WA 3 HOSPITALI YA AICC ARUSHA
MkurugenziMwendeshajiwaKituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC),Elishilia Kaayaa kiwa amebeba watoto watatu mapacha Catherine, Caroline na Cathrine ambao walizaliwamwanzonimwa wiki hii...
View ArticleOPERATION KOKORO YAVUNA WANACHAMA 1800 WILAYA YA MWANGA.
Ziara ya Mwenyekiti wa Vijana Wilaya ya Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro Komredi Japhar Mghamba akiongozana na Katibu Msaidizi wa Mkoa Maalum wa Vyuo Vikuu Komredi Daniel Zenda inaendelea kwa mafanikio...
View ArticleMSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AZUNGUMZA NA WANAHABARI MJINI IRINGA LEO KUHUSU...
Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini,Bwa.Sistyl Nyahoza akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa Habari (hawapo pichani) mapema leo asubuhi kwenye Ukumbi wa Ruaha International,mkoani Iringa...
View ArticleTAMKO KULAANI MATENDO YA KIKUNDI VYA WATU KWENYE MITANDAO YA JAMII
Kumekuwa na muendelezo wa matukio kadhaa kutoka kwa kikundi cha watu kumuhusisha Mh Lowassa na matukio ya uongo na kumzushia vitu vya ajabu kabisa, hususani katika mitandao ya kijamii. Kumesambazwa...
View ArticleArticle 14
Askofu mkuu wa kanisa la kiinjili la kilutheli dayosisi ya kaskazini Dk Martini Shao akiwa na mkurugenzi mkuu wa Benki ya CRDB pamoja na kaimu mkurugenzi wa hosptali ya KCMC .Prof Raimosi Ollomi wakati...
View ArticleMWENYEKITI WA CHADEMA WANGAMA AJISALIMISHA CCM, ASEMA WENGI WAKO NYUMA YAKE
Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi katika jimbo la Kalenga mkoani Iringa Bw. Godfrey Mgimwa akishiriki kucheza ngoma pamoja na Mwenyekiti wa (CCM) mkoa wa Iringa Bi. Jesca Msambatavangu...
View ArticleMAMA MKUBWA WA MTOTO ADOLOTEA NYAVIKE , SALOME KIEGU (35) MTOTO ALIYE UNGUA...
Huyu ndiye Mama Mkubwa wa Mtoto Adolotea Nyavike bi. Salome Kiegu(35) ambaye ametoweka na mtoto huyo kusiko julikana huku wasamalia wema wakitaka kutoa misaada. ****** Katika hali ya Kutatanisha na...
View ArticleSemina ya wajumbe wa Bunge maalum imeahirishwa mpaka saa tisa mchana leo
Kikao cha semina ya wajumbe wa Bunge maalum la Katiba kilichokuwa kiendelee leo saa nne asubuhi baada ya Mwenyekiti wake wa Muda Mhe. Pandu Amir Kificho Kuaarisha jana mchana sasa kitaendelea leo...
View ArticleMEGATRADE YAVIPIGA JEKI VILABU VYA POLISI KILIMANJARO NA MACHAVA FC VYA MJINI...
Meneja masoko wa kampuni ya Megatrade (T) Ltd,Goodluck Kway akimkabidhi mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama jezi zenye thamani ya kiasi cha sh Milioni 3 ikiwa ni sehemu ya msaada kwa timu ya...
View ArticleIKULU YAKANUSHA HABARI ZA GAZETI MWANANCHI YA RAIS KIKWETE KUMTEMBELEA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (MOI) katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jana (Jumamosi) kuwajulia hali wanahabari wawili –...
View ArticleGODFREY MGIMWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI KATIKA MVUA KUBWA, WANANCHI WASEMA...
Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Bw. Godfrey Mgimwa akibebwa juu juu na wananchi mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa kampeni katika kijiji cha Wenda kata ya...
View Article