Quantcast
Channel: Father Kidevu
Browsing all 10588 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATEMBEZI YA UZALENDO

 Vijana wakiwa kwenye matembezi ya Uzalendo yalioratibiwa na Umoja wa Vijana wa CCM katika kuadhimisha miaka 50 ya Muungano ambapo vijana hao walianzia matembezi kutoka ofisi za Mkuu wa Wilaya ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEREHE ZA MUUNGANO KITUO CHA GENEVA, SWITZERLAND ZAFANA

Balozi wa Tanzania katika Mashirika ya Umoja wa Mataifa, Geneva,  Mhe.  Modest Mero, akimkaribisha Balozi wa Jamhuri ya watu wa  China-Geneva, Liu Jieyi katika tafrija maalum ya maadhimisho ya miaka 50...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete aongoza Sherehe za miaka 50 ya Muungano

 Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia wananchi wakati alipokuwa anaingi uwanja wa Uhuru leo katika maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar..Pembeni ni Mkuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hotuba Ya Mhe. Mwigulu Nchemba katika sherehe za Muungano Washington DC

Mhe. Mwigulu Nchemba akizungumza katika moja ya hafla hapa Washington DCIfuatayo ni hotuba ya Naibu Waziri wa Fedha na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (Tanzania Bara) Mhe Mwigulu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Timu 72 kushiriki Ester Cup 2014, mshindi kupata sh 1.5 million

Mbunge wa Viti  Maalum kwa vijana kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ester Bulaya akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa mashindano ya Ester Cup yatakayofanyika kwenye uwanja wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mazoezi ya Miss Sinza kuanza Mei 5 kwenye ukumbi wa Meeda, Sinza

Na Mwandishi WetuMAZOEZI ya warembo watakaowania taji la urembo la Sinza, Miss  2014 yataanza  Mei 5 kwenye ukumbi wa Meeda uliopo Sinza Mori na Lufungila jijini. Taji la Miss Sinza linashikiliwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA POSTA TANZANIA YATOA MSAADA VITU MBALIMBALI KWA WODI YA WATOTO WENYE...

 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Mystica Ngongi akimkabidhi hundi ya sh. milioni 2 Mkuu wa Idara ya Ustawi ya Jamii Hospitali ya Taifa Muhimbili, Beatrice Mugula kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAMII YAHAMASISHWA KUSAIDIA WAGONJWA WA SIKOSELI

Makamu Mwenyekiti wa Mfuko wa Sikoseli Tanzania, Dk Julie Makani akihojiwa na waandishi wa habari katika hafla ya kuhamsidha jamii kuhusu ufahamu wa ugonjwa wa sikoseli 'seli mundu' iliyofanyika jijini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA SHUJAA WA CHAKULA WAINGIA RASMI KIJIJI CHA MAISHA PLUS, PROFESA ANNA...

Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa Nyumba Ardhi na  maendeleo ya Makazi wa pili kutoka kulia pamoja na Babu wa Kijiji cha Maisha Plus akiwasalimia akina mama Shujaa wa Chakula ambao wameingia Rasmi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAFLA MAALUM YA SHEREHE ZA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA HOTELI YA MARRIOTT

 Mfanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania Washington Dc Bi.Mariam Mkama akijiandaa na mpango mzima wa kukaribisha wageni katika hafla maalum iliyofanyika katika hoteli ya Marriot Washington Dc Jumamosi Aprili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RADIO 5 PRESENTS FIGHT NIGHT

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ubaloziwa Tanzania nchini Nigeria waadhimishamiaka 50 yaMuungano.

Baloziwa Tanzania chini Nigeria Mh. Daniel Ole Njoolay akifungua kongamano la Biashara na uwekezaji katika Hoteli ya Sheraton jijini Abuja Nigeria ikiwa nisehemu yasherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ufunguzi wa baraza la wafanyakazi jijini Dar

Katibu Mkuu,Ofisi ya Makamu wa Rais Bw.Sazi Salula (katikati) akifungua rasmi kikao cha Baraza la wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais kilichofanyika Karimjee jijini Dar es Salaam leo hii kulia ni...

View Article


SAUTI SOL- NISHIKE OFFICIAL MUSIC VIDEO

“NISHIKE”, third single off Sauti Sol’s upcoming third album. Song written and performed by Sauti Sol. Produced by Kagwe Mungai. Video directed by Enos Olik/Bokeh Family 2014. Assistant Director:...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI KITAIFA LEO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wa serikali na wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA)  wakiangalia maandamano ya wafanyakazi wakati wanaingia uwanjani hapo leo katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sudani Kusini sasa kujadiliwa EAC Oktoba

Majadiliano juu ya ombi la Sudani Kusini kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) yameahirishwa hadi Oktoba mwaka huu, Mkutano wa wakuu wa nchi EAC ulisema Jumatano.Mwenyekiti wa Mkutano huo,Rais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AWASILI MJINI BUKOBA MKOA WA KAGERA JIONI HII...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara, mara baada ya kuwasili kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YAPATA MSHINDI WA TIKETI YA TATU YA KWENDA BRAZILI

  Meneja wa Bia ya Serengeti Rodney Rugambo(kulia) akizungumza na wana habari wakati wa droo ya Kumi na mbili  ya promosheni ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti inayoendeshwa na Kampuni ya Bia ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZINDUZI WA MISS DAR CITY CENTER 2014

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBUKUMBU YA MWAKA MMOJA YA MZEE ANGELOUS DANIEL NGONYANI

MAREHEMU MZEE ANGELOUS DANIEL NGONYANI NI MWAKA MMOJA SASA TANGU ULIPOTUTOKA GHAFLA TAREHE 01-05-2013KATIKA HOSPITALI YA TUMAINI DAR ES SALAAM.HAKIKA SIKU ILE ITABAKI KUWA KUMBUKUMBU KWETU UNAKUMBUKWA...

View Article
Browsing all 10588 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>