Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10604

TPB YATOA MSAADA WA VYAKULA HOSPITALI YA SARATANI OCEAN ROAD

$
0
0
Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, Mystica Mapunda Ngongi akikabidhi chakula kwa Daktari bingwa wa saratani, Katika Taasisi ya Magonjwa ya Saratani,  Dk Harrison Chuwa, wakati benki hiyo ilipotoa chakula na vifaa mbalimbali kwa ajili ya wagonjwa katika Hospitali ya Ocean Road, Dar es Salaam kuadhimisha Siku ya Saratani Duniani. Wanaoshuhudia ni  Meneja Mahusiano wa TPB, Noves Moses (kushoto) na Msimamizi wa Wagonjwa wa ndani Hospitalini hapo, Genoveva Mlawa.

Trending Articles

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>