WANAFUNZI ST ANNE MARIE ACADEMY DAR ES SALAAM WAFANYA UHARIBIFU MKUBWA WA...
Mkuu wa Wilaya ya Kinoniondoni, Jordan Rugimbana akikagua chumba cha kompyuta ambacho kumefanyika uharibifu mkubwa na kuharibu kompyuta za mezani 40 na kompyuta mpakato 16 hazijulikani zilipo baada ya...
View ArticleMAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA
Jaji Mkuu Othumani Chande akikagua gwaride la FFU. Viongozi wa Dini. Jaji Mkuu wa Tanzania Othumani Chande (kulia) akiongozana na Jaji Fakhii Jundu(wa pili kushoto) Spika wa Bunge Anne Makinda (wa...
View ArticleHATIMAYE ZOEZI LA KUWACHAGUA WASHIRIKI WA MAISHA PLUS/ MAMA SHUJAA WA CHAKULA...
Afisa utetezi wa haki za kiuchumi wa OXFAM Mkamiti Mgawe akielezea kwa kina namna ambavyo wanafanya mchujo wa kumpata mshiriki wa awali wa mama shujaa wa chakula/ Maisha Plus ambapo washiriki...
View ArticleSIKU YA SHERIA DODOMA, WALIA NA UPUNGUFU WA MAJAJI
Wakili wa Serekali Mfawidhi mkoa wa Dodoma, Angaza Mwaipopo akifafanua jambo wakati wa sherehe ya siku ya sheria mjini Dodoma leo.Jaji Mfawidhi wa mahakama kuu kanda ya Dodoma, Crecensia Makuru...
View ArticleKINANA ATAHADHARISHA VIONGOZI NA AHADI HEWA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Ifunda kwenye viwanja vya sokoni Ifunda ambayo alisema alikuja kuwajulia hali maana ni mwezi sasa tangia wamempoteza Mbunge wao Marehemu...
View ArticleJK NA MA-BLOGGER - KINANA MPIGA PICHA
Mwenyekiti wa wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata picha ya pamoja na ma-bloggers wakubwa wa Tanzania wakati wa kiadhimisha sherehe za miaka 37 za uhai wa CCM uwanja wa Sokoine jijini Mbeya....
View ArticleMAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA MKOANI KILIMANJARO
Leo ni Law Day, tunamsubiri mgeni RasmiWanasheria wakimsubiri Mgeni RasmiJaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Moshi, Jaji Aisha Nyeyere, akiongoza Wanasheria katika maadhimisho ya siku ya Sheria (Law...
View ArticleMBUNGE NAMELOK AGAWA MISAADA
Mbunge viti maalum Mkoa wa Arusha Namelok Sokoine akiwasili katika viwanja vya kituo cha huduma ya walemavu cha kanisa katoliki jimbo kuu Arusha,Monduli jana kwaajili ya kugawa misaadaKinamama wakiimba...
View ArticleJITOKEZENI KUPIMA SARATANI
Na Magreth KinaboWaziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid amesema zaidi ya 35,000 hufariki dunia kila mwaka kutokana na ugonjwa wa saratani.Kauli hiyo imetolewa leo na waziri huyo...
View ArticleWINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI LAGER
Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL), Ephraim Mafuru (kulia) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa promosheni ya Winda na...
View ArticleTPB YATOA MSAADA WA VYAKULA HOSPITALI YA SARATANI OCEAN ROAD
Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, Mystica Mapunda Ngongi akikabidhi chakula kwa Daktari bingwa wa saratani, Katika Taasisi ya Magonjwa ya Saratani, Dk Harrison Chuwa, wakati benki...
View ArticleTANGAZO KWA UMMA- WIZARA YA FEDHA
JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIAWIZARA YA FEDHATANGAZO KWA UMMA Katika siku za hivi karibuni, baadhi ya magazeti yamekuwa yakitoa taarifa za upotoshaji juu ya suala la kuongezeka kwa malipo ya...
View ArticleVACANCY AT SUNRISE BEACH RESORT
SUNRISE BEACH RESORT HAS A VACANCY FOR FOOD, BEVERAGE, MAINTANANCE, LAUNDY AND MARKETINGQUALIFICATION:- SHOULD HAVE WIDE KNOWLEDGE IN ALL FOOD,BEVERAGE,MAINTANACE AND LAUNDRY DEPARTMENT-...
View ArticleWashindi wa promosheni ya Mimi ni Bingwa waipongeza Airtel
Afisa Mahusiano wa Airtel Tanzania, Jane Matinde (wa pili kushoto) akiongelea umuhimu wa promosheni ya Mimi ni Bingwa muda mfupi baada ya kukabidhi shilingi milioni moja kwa baadhi ya washindi wa...
View ArticleKanuni ya uchaguzi wa ccm 2012
"Mwanachama yeyote mwenye sifa zinazohitajika anayo haki ya kutangaza wakati wowote nia yake ya kutaka kugombea nafasi fulani. Lakini wanachama wenye nia ya kugombea hawaruhusiwi kufanya kampeni ya...
View ArticleTAARIFA YA MKUTANO KWA WANA WERUWERU
NOTICE IS HEREBY Given that a General Meeting of the foundation will be held at Cine Club, Mikocheni/Msasani, Dar es Salaam on Saturday, 8th February, 2014 at 10.00hrs.Mkutano wa Weruweru Alumnae...
View ArticleRAIS KIKWETE AWAFUNDA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA JUU YA BUNGE LA KATIBA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia jambo wakati akitoa hotuba yake kwenye ufunguzi wa mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini...
View ArticleKibuuka law Chambers yatoa msaada TAS
Katibu Mkuu wa Chama cha Albino Tanzania (TAS) Ziada Msembo akipokea msaada wa vitu mbalimbali kwaajili ya Albino Dar es Salaam jana kutoka kwa kwa Mkurugenzi mwenza wa Kampuni ya Sheria ya Kibuuka,...
View Article