Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Sekretarieti CCM Makao Makuu Ofisi Ndogo Lumumba jijini Dar es Salaam ambapo alizungumzia imani ya CCM katika muundo wa serikali mbili.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisikiliza baadhi ya maswali kutoka kwa waandishi wa habari waliohudhuria mkutano na waandishi wa habari kwenye Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi Lumumba jijini Dar es salaam leo tarehe 20 Machi 2014.