Ukaguzi Maalumu akaunti ya Tegeta Escrow
Hadidu rejea 1) Kuchunguza uendeshaji wa mkataba wa kuzalisha Umeme kati ya kampuni ya IPTL na TANESCO 2) Kuchunguza kama wakati escrow inafunguliwa kampuni ya mechmar ilikuwa inamiliki IPTL,...
View ArticleBenki ya Covenant yatoa maabasi na bajaji kwa wajasiriamali
Mwenyekiti wa Benki ya Covenant Balozi Salome Sijaona akimkabidhi mratibu wa uhamasishaji wa vikundi vya Wilaya ya Temeke Bi.Tukae Kondo ufunguo wa pikipiki baada ya kuwapatia mikopo wajasiliamali...
View ArticleZantel yapiga jeki mchezo wa Netiboli
Meneja Mwandamizi wa Uhusiano wa Serikali kutoka Zantel Bw. Charles Jutta (kushoto), akiwakabidhi hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na...
View ArticleKITUO CHA UWEKEZAJI CHAFANIKIWA KUSAJILI MIRADI 9,442
KITUO cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimefanikiwa kusajili miradi 9,442 tangu kuanzishwa kwake hadi 2013.Hayo yamesemwa na Meneja Uhusiano wa TIC, Pendo Gondwe (pichani juu) wakati wa mkutano...
View ArticleMaisha Plus: Washiriki kutoka Rwanda, Burundi, Kenya na Uganda wako Moro
Mwandishi Wetu, Dar es alaamWASHIRIKI wa shindano la Maisha Plus ambayo kwa mwaka 2014 inatambulika kwa jina la Maisha Plus Rekebisha, kutoka nchini Kenya, Rwanda,Uganda na Burundi tayari...
View ArticleSOMA HOTUBA YA WARIOBA ALIYOITOA KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA DODOMA
Hotuba Ya Mkiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba aliyoitoa katika Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma Machi 18, 2014.
View ArticleATCL yaanza safari za kwenda Mbeya
Kaimu mkurugenzi wa biashara na masoko wa shirika la ndege la Air Tanzania, Juma Boma (wa pili kulia) akipanda ndege mpya aina ya CRJ-200 katika uwanja wa ndege Julius Nyerere muda mfupi kabla ya...
View ArticleMAANDALIZI YA UZINDUZI WA KAMPENI CCM YAANZA VIZURI CHALINZE
Maandalizi ya mkutano mkubwa wa uzinduzi wa kampeni za Ubunge kupitia CCM jimbo la Chalinze yaendelea vizuri ambapo jioni ya leo Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana anatarajiwa kuhutubia...
View ArticleKAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YACHEZESHA DROO YAKE YA 6
Meneja wa Bia ya Serengeti Rodney Rugambo akitangaza washindi wa droo ya sita ya promosheni ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti inayoendeshwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti mara baada ya...
View ArticleMZEE MWINYI AZINDUA TAWI LA BENKI YA KCB SHARIAH JIJINI DAR ES SALAAM
Rais mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi (Katikati)akizindua tawi jipya la Benki ya KCB Shariah Lililopo barabara ya Lumumba jijini Dar es Salaam, litakalotoa huduma kwa kuzingatia maadili ya...
View ArticleCCM YAZINDUA KAMPENI KWA KISHINDO CHALINZE
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimnadi mgombea wa Ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete, katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM uliofanyika leo kwenye Uwanja...
View ArticleKAMPUNI MPYA YA MTANDAO WA SIMU ZA MIKONINI SMART TELECOM YAZINDULIWA JIJINI DAR
Viongozi wakuu wa kampuni ya Smart Telecom,Afrika Masharikii wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washindi waliojipatia zawadi kupitia mtandao huo,baada ya kushiriki kwenye kampeni ya GIVE US A...
View ArticleUJUMBE WA WANAWAKE WASICHANA WATEMBELEA HOSPITALI YA KALOLENI KUJIONEA HUDUMA...
Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa umoja wa wanawake vijana wa kikristo duniani walipofanya ziara katika kituo cha afya cha Kaloleni jijini arusha kujionea hali ya huduma kwa akina mama wajawazito na...
View ArticleMISS TANZANIA 2014 YAZINDULIWA RASMI LEO DAR ES SALAAM
Meneja wa kinywaji cha Redd's Original Victoria kimaro akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya kuzinduliwa kwa mashindano ya Redd,s Miss Tanzania 2014Mkurugenzi wa kampuni ya...
View ArticleNAPE: CCM BADO INA IMANI NA MUUNDO WA SERIKALI MBILI
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Sekretarieti CCM Makao Makuu Ofisi Ndogo Lumumba jijini Dar es Salaam ambapo alizungumzia imani ya CCM...
View ArticleBODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU YAZUNGUMZA NA WANAHABARI DAR ES...
Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, elimu na mawasiliano wa bodi ya mikopo Tanzania, Cosmas Mwaisobwa akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaamMkurugenzi Msaidizi wa Habari, elimu na mawasiliano wa...
View ArticleKAMPENI ZA CCM JIMBO LA CHALINZE ZAENDELEA KIJIJI KWA KIJIJI
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani,Mwishehe Shaban Mlawa akimnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete katika Mkutano wa Kampeni za...
View ArticleAIRTEL YATOA MSAADA WA VITABU SHULE ZA SEKONDARI MBEYA
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Mbeya iliyopo jijini na Mkoa wa Mbeya, Magreth Haule, akitoa neno la shukrani kwa niaba ya walimu, wafanyakazi na wanafunzi wa shule hiyo kwa maofisa wa kampuni ya Simu...
View ArticleRAIS KIKWETE AKIANDAA NONDO ZAKE ZA KUZUNGUMZA BUNGENI KESHO
Kweli Urais hauna ubia wala muda ama sehemu ya kuchapa kazi. Wakati wowote na mahali popote ni sehemu ya kazi, kama inavyoonekana hapa ambako Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya...
View Articlemaandalizi ya tamasha la pasaka yakamilika,rebecca malope kutumbuiza jijini...
MKurugenzi wa Msama Promotions Ltd,ambao ndio waandaji wa tamasha la krismass na Pasaka,Bwa.Alex Msama amesema kuwa maandalizi ya tamasha la Pasaka linalotarajiwa kuanza kufanyika jijini Dar mnamo...
View Article