Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10590

RAIS UHURU WA KENYA ALIPOAMUA KUSAFIRI KWA BARABARA KUTOKA NAIROBI HADI ARUSHA

$
0
0
 Wakisalimia wananchi
Rais wa Kenya na Mwenyeki wa Jumuia ya Afrika Mashariki, Uhuru Kenyata pamoja na Makamu wake wa Rais William Samoei Ruto walisafiri kwa njia ya barabara kutoka Ikulu ya Naorobi hadi Jijini Arusha Tanzania jana.

Rais Kenyata alikuwa akielekea jiji Arusha kuhutubia Bunge la Afrika Mashariki jana. Huo ndio ulikuwa msafara wao na walikuwa wakilakiwa njiani hivyo na wananchi wa Kenya.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 10590

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>