Quantcast
Channel: Father Kidevu
Browsing all 10590 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS UHURU WA KENYA ALIPOAMUA KUSAFIRI KWA BARABARA KUTOKA NAIROBI HADI ARUSHA

 Wakisalimia wananchiRais wa Kenya na Mwenyeki wa Jumuia ya Afrika Mashariki, Uhuru Kenyata pamoja na Makamu wake wa Rais William Samoei Ruto walisafiri kwa njia ya barabara kutoka Ikulu ya Naorobi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA HUDUMA ZA JAMII YA HALMASHAURI YA MJI KOROGWE YAPITISHA MPANGO WA...

Mganga Mkuu wa Halmashauri ya mji wa Korogwe, Jerry Mwakanyamale (Kulia) akichangia mada wakati wa wa kikao cha Kamati ya Afya ya halmashauri ya mji huo (CHMT) pamoja na Madiwani wa Kata mbali mbali za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERENGETI YACHEZESHA DROO KUBWA YA TIKETI YA PILI YA KWENDA BRAZILI WIKI IJAYO

Meneja wa Bia ya Serengeti Rodney Rugambo akizungumza na wana habari wakati wa droo ya saba ya promosheni ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti inayoendeshwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti mara baada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASANII BONGO MOVIE WATOA MSAADA HOSPITALI MWANANYAMALA

 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mabibo Beer ambao ni wauzaji wa vinywaji vya Windhoek na Climax, Mama Benadetha Rugemalila akikabidhi baadhi ya misaada kwa Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOMBEA WA AFP CHALINZE RAMADHANI MGAYA AJINADI KWA WANANCHI

 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia chama cha AFP, Ramadhani Mgaya akinadiwa na  Mkurugenzi wa habari na uenezi wa AFP kitaifa, Mwalami Uwesu wakati wa kampeni za mgombea huyo katika ebneo la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA NIC ARUSHA YAWAKUMBUKA WATOTO WENYE MTINDIO WA UBONGO WA SHULE...

 Meneja wa benki ya NIC Mbuche Mgawa  wa nne kulia akipokea maelezo kutoka kwa bibi Mary Robert Kaswende meneja wa kituo cha Dymphna Special school iliyopo sakina kwa idd mara baaada ya kuwasili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CUF LAWAMANI KWA KUVAMIA OFISI YA CCM NA KUJERUHI KIONGOZI WA CCM UBENA

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye akizungumza na Mwenyekiti wa UWT Kata ya Ubena Jesca Daudi ambaye alivunjwa mkono na Viongozi wa CUF waliovamia ofisi ya kata kwenye kijiji cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NSSF MEDIA CUP KUANZA KUTIMUA VUMBI MACHI 29

Meneja Kiongozi Idara ya Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume akizungumza wakati swa hafla ya kukabidhi vifaa kwa timu zinazoshiriki mashindano ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANZA ARE YOU READY?

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RADIO 5 YAKULETEA BACK COLLEGE BASH NDANI YA NEW LANDMARK RESORT JUMAMOSI HII

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Semina ya mawakala wa shindano la Redd's miss Tz yafungwa Rasmi

Meneja wa kinywaji cha Redd’s Origina Victoria kimaro katikati akiwa katika picha ya pamoja na baadhi wa viongozi wa kamati ya Miss Tanzania katika siku ya kufunga semina ya mawakala wa shindano la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUPA KUZIKWA NYUMBANI KWAO KILOSA MOROGORO

  Askari wa FFU mkoa wa Mara wakiwa wamelibeba jeneza lililohifadhi mwili wa Marehemu, John Gabriel Tupa leo baada ya kumuaga na kusafirishwa kwenda Kilosa Mkoani Morogoro kwa Mazishi yatakayo fanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SINDA ISLAND TOUR

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RIDHIWANI KIKWETE APIGA KAMPENI VIJIJI VYA CHAHUA NA MATULI CHALINZE

 Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia chama cha Mapinduzi Ndugu Ridhiwani Kikwete akisalimiana na wananchi wakati alipowasili katika kijiji cha Matuli kata ya Chalinze kwa ajili ya mkutano wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MANISPAA YA ILALA TUPIA JICHO BARABARA YA MOMBASA-MOSHI BAR - BOMBAMBILI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MMJKT MABINGWA WA NGUMI MKOA WA DAR ES SALAAM

Bondia Hamisi Mputeni kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Victor Njaiti wakati wa mpambano wao katika mashindano ya klabu bingwa mkoa wa Dar es salaam juzi Njaiti alishinda kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA ARIDHISHWA NA KASI YA UPANUZI WA MITAMBO MIPYA YA MAJI RUVU CHINI

KaTtibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Maji wa MCAT (Millenium Challenge Acount Tanzania,Bwana William Christian kuhusianana namna maji yanavyokusanywa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali yaipongeza Airtel kwa kuchangia maendeleo ya elimu

Meneja biashara wa Airtel kanda ya kaskazini Brighton Majwala akimkabidhi vitabu vya sayansi kwa mkuu wa wilaya Arusha John Mongela kwa ajili ya shule ya sekondari Naura ya jijini Arusha vilivyotolewa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTI WADONDOKA NA KUZIBA BARABARA YA TRA ENEO LA MWENGE JIJINI DAR ES SALAAM

 Magari yakipita kwa shida kwenye eneo hilo la barabara  baada ya mti kuanguka kwenye na kupelekea foleni kubwa eneo hilo la Mwenge. Foleni kubwa ya magari iliyosababishwa na kuanguka kwa mti huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIGODORO, KANGA MOKO MARUFUKU MISS TANZANIA: BASATA

View Article
Browsing all 10590 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>