Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10590

WASHINDI WA PROMOSHENI YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI WAENDELEA KUKABIDHIWA ZAWADI ZAO

$
0
0
 Meneja wa Bia ya Serengeti Rodney Rugambo (kulia) akimkabidhi zawadi ya king’amuzi kwa niaba ya mmoja wa washindi wa wiki Denis Mbaga katika ofisi za Kiwanda cha Serengeti  mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
  Meneja Mauzo eneo la Moshi mjini Fredrick Chambega (kulia) akimkabidhi zawadi ya king’amuzi mmoja wa washindi wa wiki wa promosheni ya Winda Safari YA Brazili na Serengeti Pasian Shirima (kulia) katika hafla fupi iliyofanyika mkoani Kilimanjaro, promosheni hiyo inaendeshwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti.
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia ya Serengeti mkoa wa Kilimanjaro Orest Mmbaga (kushoto) akimkabidhi Samsung Galaxy tab mmoja wa washindi wa promosheni ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti Elly Kisanga (kulia) wakati wa hafla ya makabidhiani mkoani Kilimanjaro

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10590

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>