'BIG RESULTS NOW' YAKUSANYA MABILIONI KWA KIPINDI CHA NUSU MWAKA
Msemaji Mkuu wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma, akizungumza wakati wa Semina maalum kwa 'Mablogger', iliyofanyika katika Hoteli ya Kilimanjaro Park, Misugusugu Kibaha, leo Machi 28, 2014. Semina...
View ArticleWINDHOEK AMBAO NI WADHAMINI WAKUU WA SHEREHE YA KUTIMIZA MIAKA 3 YA BONGO...
Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Mengele (Nyerere) akihojiwa na waandishi wa habari wakati wa sherehe ya Kutimiza miaka 3 ya Klabu ya Bongo Movie, sherehe iliyofanyika katika Ukumbi wa East 24 uliopo...
View ArticleWAZIRI MKUU PINDA AKABIDHI TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14, DK MARIA...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni tano Dk. Maria Kamm aliyetwaa Tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013/2014 ndani ya Ukumbi wa African Dreams uliopo Area...
View ArticleWASHINDI WA PROMOSHENI YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI WAENDELEA...
Meneja wa Bia ya Serengeti Rodney Rugambo (kulia) akimkabidhi zawadi ya king’amuzi kwa niaba ya mmoja wa washindi wa wiki Denis Mbaga katika ofisi za Kiwanda cha Serengeti mwishoni mwa wiki jijini...
View ArticleSEDUTA HOTEL NI KIOTA KIPYA CHA MARAHA JIJINI DAR ESSALAAM
SEDUTA HOTEL ni kiota kipya cha maraha kilichopo jijini Dar es Salaam eneo la Mbezi Beach, Salasala jijini. Ukiwa Seduta hutadhani kama upo ndani ya jiji la Dar es Salaam kwani ni mahali tulivu...
View ArticleBARAZA LA MADIWANI LA MJI KOROGWE LAUPOKEA KWA MIKONO MIWILI MPANGO TIBA KWA...
Afisa Utumishi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, ambaye alimwakilisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Bw. Lewis Kalinjuna akiongoza kikao cha Baraza la Madiwani katika kupitisha sheria...
View ArticleKINANA AZURU KATA ZA MWAMBAO WA ZIWA TANGANYIKA
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Rukwa, Hypolitus Matete (aliyenyoosha mkono), akimuonyesha Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana mandahari ya eneo la Ziwa Tanganyika, linalotumiwa na wavuvi katika eneo la...
View ArticleCFAO MOTORS WAZINDUA TOLEO JIPYA LA MERCEDES BENZ JIJINI DAR
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya CFAO Motors, Bw.Wayne McIntosh akiteta jambo na baadhi ya wageni waalikwa kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa toleo jipya la gari aina ya Mercedes Benz E-Class...
View ArticleZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA YAKUMBANA NA CHANGAMOTO ZA BARABARA...
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akimueleza jambo Mbunge wa jimbo la Nkasi Kaskazini,Mh.Ali Mohammed Kessy,walipokuwa wakitembea kwa miguu kufuatia msafara huo kukumbana na changamoto ya...
View ArticleMZIGO MUPYA UMEWASILI NDANI YA DUKA LAKO LA VIP COLLECTION
MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA KADHILIKA MWENYE MIGUU HAAMBIWI TEMBEA MALI MUPYA zimewasili katika Duka la VIP COLLECTION lilipo Mwananyama A jijini Dar es Salaam.VIP Collection inakwambia hakuna habari...
View ArticleWENGI WAJITOKEZA KUJIUNGA NA NSSF
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka (wa pili kulia), akipata maelezo kutoka kwa Ofisa Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Carloyne Newa (kushoto), kuhusu kujiunga na Mfuko...
View ArticleTBL YAKABIDHI KISIMA CHA MAJI ZAHANATI YA MVUTI DAR
Mkuu wa Mahusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bw. Stephen Kilindo (kulia) na Afisa Uhusiano wa Kampuni hiyo, Bi. Doris Malulu, wakimuongoza Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,...
View ArticleJERRY SILAA AGAWA DAWATI 300 KWA SHULE ZA SEKONDARI MANISPAA YA ILALA
Sehemu ya madawati kati ya 300 yaliyotolewa na mpango wa Mayor's Ball 2013 kupitia kampeni yake ya "Dawati ni Elimu" inayolenga kutatua uhaba wa madawati kwa shule zilizomo ndani ya Manispaa ya...
View ArticleTIMU NZIMA YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA YAELEKEA MKOANI MWANZA
Timu nzima ya Tanzania Movie Talents kutoka kampuni ya Proin Promotions Limited wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza safari ya kuelekea Mwanza kwaajili ya shindano la kutafuta Vipaji vya...
View ArticleJIJI LILIVYOZARAU NA KUDHALILISHA BIASHARA YA MAGAZETI DAR ES SALAAM
LICHA ya kuwa ni kusafisha jiji la Dar es Salaam lakini imeelezwa na wadau mbalimbali hasa wa habari jijini humo kuwa kitendo cha jiji la Dar es salaam kuvunja na kuharibu meza za kuuzia magazeti kwa...
View ArticleTAASISI YA BRIEN HOLDEN KUZINDUA HUDUMA YA UPIMAJI MACHO NA UTOAJI MIWANI KWA...
Ofisa Mkazi wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Brien Holden Vision, Eden Mashayo akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam jana kuhisina na uzinduzi wa upimaji macho utakao fanyika Dar es Slaam...
View ArticleJICHO LANGU SASA IPO MITAANI
Hatimaye filamu ya JICHO LANGU imetoka siku ya leo. Sasa unaweza kujisogeza taratibu madukani kujipatia nakala yako. Usisubiri wenzako waangalie ndipo usimuliwe, wewe unatakiwa kuwa wa kwanza...
View ArticleMAFIKIZOLO KUWASILI LEO JIJINI DAR, KUPIGA SHOW MLIMANI CITY
Kundi maarufu la muziki wa Kwaito la nchini Afrika kusini, Mafikizolo linatarajia kutua mchana huu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya onesho moja tu linalotarajia kufanyika katika ukumbi wa Mlimani...
View ArticleWarembo 17 mazoezini Miss Tabata 2014
Na Mwandishi WetuWarembo 17 wamejitokeza kushiriki katika shindano la kumtafuta Redds Miss Tabata 2014. Mratibu wa shindano hilo, Joseph Kapinga alisema jana kuwa warembo hao wanaendelea na mazoezi...
View Article