Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10591

MOTO ULIPOTEKEZA GARI JIJINI DAR ES SALAAM

$
0
0
Gari hili aina ya Toyota Rav4 ambalo linadaiwa lilikuwa halina namba za usajili zaidi ya zile sa kusafirishia liliteketea kabisa kwa moto ambao unasemekana ulisababishwa na hitilafu ya ya umeme ndani ya gari hilo juzi karibu na taa za kuongezea magari katika makutano ya barabara za Kinondoni, Ali Hassana Mwinyi na Kenyata Drive jijini Dar es Salaam. Hakuna mtu aliyejweruhiwa katika ajali hiyo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10591

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>