Quantcast
Channel: Father Kidevu
Browsing all 10588 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MOTO ULIPOTEKEZA GARI JIJINI DAR ES SALAAM

Gari hili aina ya Toyota Rav4 ambalo linadaiwa lilikuwa halina namba za usajili zaidi ya zile sa kusafirishia liliteketea kabisa kwa moto ambao unasemekana ulisababishwa na hitilafu ya ya umeme ndani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALEX MSAMA APATA AJALI MKOANI DODOMA

Baadhi ya Wakazi wa Mkoa wa Dodoma pamoja na Mwenyekiti wa Bongo Movie(Steve Nyerere) na Single Mtambalike wakiwa pembeni ya Mkurugenzi wa Msama Promotions Limited Bw Alex Msama kwaajili ya kumpa pole...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IFC and CRDB Bank commit to support SME and agribusiness sectors in Tanzania

Dr. Charles Stephen Kimei, Managing Director of CRDB Bank Group, speaks during a landmark $75 million loan agreement signing ceremony with the International Finance Corporation (IFC) aimed at providing...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA CCM,AENDELEA NA ZIARA YAKE MKOANI KIGOMA.

Katibu Mkuu wa CCM;Ndugu Kinana na Wananchi wakishiriki ujenzi wa Ghala la kuhifadhi mazao na mashine ya kusaga nafaka katika kijiji cha cha Kidahwe,Kigoma Vijijini.Ghala hilo  linalenga kusaidia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA MSULUBU WENZAKE NAE HUSULUBIWA!

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAWASILIANO YA BAGAMOYO NA DAR YAKATIKA DARAJA LAKATIKA MAPINGA

Wakazi wa eneo la Mapinga Mkoani Pwani wakiwa kwenye mshangao mkubwa baada ya kushindwa kuvuka Daraja la Mto unaokatisha kwenye eneo hilo baada ya kutokuwepo kwa mawasiliano ya barabara kwa kukatika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK AONGOZA WATANZANIA KUMBUKUMBU YA MIAKA 30 YA KIFO CHA SOKOINE

 Rais Jakaya Kikwete leo ameongozi taifa katika maadhimisho ya miaka 30 ya kifo cha Waziri Mkuu wa zamani Edward Moringe Sokoine katika maadhimisho yaliyofanyika nyumbani kwa marehemu Monduli...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BRAKE NEWS GURUMO AFARIKI DUNIA

Muhidini Maalimu Gurumo afariki dunia. NGULI na Shujaa wa muziki wa dansi nchini na Afrika Mashariki, Muhidin Maalimu Gurumo farikia dunia hii leo baada ya kusumbuliwa na maradhi kwa muda. Gurumo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM FC BINGWA LIGI KUU TANZANIA BARA 2013/2014

Timu ya Azam FC imefanikiwa kutangaza Ubingwa wa Ligi kuu ya Soka Tanzania bara msimu wa 2013/2014 baada ya kuinyika Mbeya City 2-1 mjini Mbeya hii leo.Azam FC kwa ushindi huo imefikisha pointi 59...

View Article


WATU WAWILI WARIPOTIWA KUFA NA WENGINE WENGI KUJERUHIWA MATAKO BAR ARUSHA...

Breaking News!!!!! Arusha hivi punde watu wamerusha bomu la mkono kweny bar maarufu inayoitwa Arusha Night Park au Matako Bar iliyopo eneo la Mianzini inasemekana watu wawili wamepoteza maisha ila...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZISHI YA DORICE DANDE MSANGI

Dorice Dande Msangi enzi za uhai wake. Mtoto wa marehemu, Sauda Msangi (kulia), akiwana na mama yake mdogo Bea Dande.Mama wa marehemu Theresia Dande wa pili (kushoto), akiwa na baadhi ya waombolezaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI ALEX MSAMA ANAENDELEA VIZURI

Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion ya jijini Dares salaam inayoandaa matamasha ya Pasaka na Krismwass Bw. Alex Msamaanaendelea vizuri baada ya kupata ajali mkoani Dodoma kisha kupelekwa katika...

View Article

15 WANUSURIKA KIFO MLIPUKO WA BOMU ARUSHA NIGHT PARK (MATAKO BAR)

WATU 15 wamenusurika kufa mara baada ya kitu kinachosadikiwa kuwa bomu lililotengenezwa kwa mkono kulipuka katika  bar ya Arusha Night Parkiliyopo maeneo ya mianzini mjini hapa.Tukio hilo lilitokea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKAPA AKARIBISHWA MONDULI

Rais mstaafu wa awamu wa tatu Mh Benjamin Mkapa leo (jumatatu) amefanya ziara kutembelea shule ya msingi ya Manyara Ranchi inayofadhiliwa na shirika la kimataifa la uhifadhi wa wanyamapori la African...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PASAKA HII NDANI YA DAR LIVE

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA FIFA KUFUNGUA SEMINA DAR

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Jerome Valcke (pichani juu) atawasili nchini Mei 1 mwaka huu ambapo atafungua semina ya mawasiliano itakayoshirikisha viongozi wa vyama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KITOWEO SOKONI

 Mkazi wa Ikola mkoani Katavi akiwa na samaki aina ya kambale wakati akitafuta wateja katika eneo hilo la Ikola. Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana alikagua ujenzi wa soko la samaki au mwalo katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU KIONGOZI AONESHA HATI HALISI YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR

Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi  Ombeni Sefue akionesha hati halisi ya Muungano. TAMKO LA KATIBU MKUU KIONGOZI KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU HATI YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR IKULU, DAR ES SALAAM,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISS ILALA 2013 DORIS MOLLEL AKABIDHI VITABU 50 SHULE YA MSINGI PUGU DAR

Miss Ilala 2013, Doris Mollel ijumaa ya wiki iliyopita alitembelea shule ya msingi Pugu jijini Dar es Salaam na kukabidhi vitabu 50 za hadithi kwa wanafunzi wa shule hiyo katika harakati zake binafsi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAWAKE NGORONGORO WAUNDA BARAZA LA KUSAIDIA MTOTO WA KIKE

Kutokana na kukithiri kwa mfumo dume unaoambatana na ukandamizaji wa mwanamke na kusababisha ongezeko la watoto yatima na wajane katika jamii ya wafuagaji wa kimasai, wanawake wa jamii  hiyo wanaoishi...

View Article
Browsing all 10588 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>