Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10588

BRAKE NEWS GURUMO AFARIKI DUNIA

$
0
0
Muhidini Maalimu Gurumo afariki dunia.
NGULI na Shujaa wa muziki wa dansi nchini na Afrika Mashariki, Muhidin Maalimu Gurumo farikia dunia hii leo baada ya kusumbuliwa na maradhi kwa muda. 

Gurumo ambaye aliaga rasmi jukwaa la muziki baada ya kuwa katika tasnia hiyo kama muimbaji kwa miaka 53. Ambapo alianza kazi ya muziki mwaka 1963.

 Gurumo atakumbwa sana kwa nyimbo zake mbalimbali alizoimba akiwa na bendi za Ochersta Safari Sound (OSS), DDC Mlimani Park “Sikinde Ngoma ya Ukae” na Msondo Ngoma 'baba ya Muziki.'

Father Kidevu Blog inatoa pole kwa wafiwa wote na wapenzi wa muziki wa Dansi nchini.Tutawajuza zaidi kuhusiana na msiba huo mkubwa.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10588

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>