Maharusi Joseph Kapinga na Venancia Mapunda wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya kufunga ndoa kanisa katoriki, Sinza Dar es Salaam hivi karibuni, kisha kufuatiwa sherehe ya kuwapongeza iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mwenge Social Hall, Mwenge jijini Dar es Salaam.
Maharusi Joseph Kapinga na Venancia Mapunda wakiwa na msimamizi wao wa kike.
Maharusi Joseph Kapinga na Venancia Mapunda wakiwa na watoto waliopamba harusi yao.
Maharusi Joseph Kapinga na Venancia Mapunda wakiwa na msimamizi wao wao na wapambe .
Maharusi Joseph Kapinga na Venancia Mapunda wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya kufunga ndoa kanisa katoriki, Sinza Dar es Salaam hivi karibuni, kisha kufuatiwa sherehe ya kuwapongeza iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mwenge Social Hall, Mwenge jijini Dar es Salaam.

Maharusi wakiingia ukumbini