KAPINGA NA VENANCIA WALIVYOKUWA MWILI MMOJA
Maharusi Joseph Kapinga na Venancia Mapunda wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya kufunga ndoa kanisa katoriki, Sinza Dar es Salaam hivi karibuni, kisha kufuatiwa sherehe ya kuwapongeza iliyofanyika...
View ArticleKAMPUNI YA MEGATRADE YATOA MSAADA YA VYAKULA MASHULENI
Meneja Masoko wa kampuni ya Megatrade Ivestment Goodluck Kway kulia, akimkabidhi msaada wa vyakula diwani wa kata ya sokoni one Michael Kivuyo kwaajili ya shule za msingi katika kata hiyo ambazo ni...
View ArticleHII NDO DASLAAM AU DIZIM
Hii ndio hali halisi ya makazi jijini Dar es Salaam kama inavyoonekana katika picha hii iliyopigwa katika eneo la Manzese jijini jana.
View ArticleRINO SALOON AND SPA YAWANG'ARISHA WASHIRIKI WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE...
Mshiriki wa Fainali ya TMT akihudumiwa katika Saloon ya Rino Saloon & SPA iliyopo Msasani Karibu na Capetown Fish Market jijini Dar Es Salaam. Mshiriki Kutoka Kanda ya Kaskazini Mkoani Arusha...
View ArticleMARY NAGU MGENI RASMI KONGAMANO LA NNE LA KITAIFA LA MAKATIBU MUHTASI...
Pichani kushoto ni Waziri wa Uweshaji na Uwekezaji Ofisi ya Waziri Mkuu,Mh.Mary Nagu ambaye ndiye mgeni rasmi wa Kongamano la nne laKitaifa la Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA),akizungumza jambo na...
View ArticleWeruweru Alumni in the Diaspora
Now, we have been receiving lots of inquiries on how the Weruweru Alumni community living outside of Tanzania, can get access to the Khanga, Tshirts and Mugz of Weruweru Alumni?! ...Today,let me help...
View ArticleNYALANDU AIFUTIA LESENI KAMPINI YA GMS ILIYOLALAMIKIWA NA MSIGWA
WAZIRI WA mali asili na Utalii, Lazaro Nyalandu (pichani) ametangaza rasmi kuifutia leseni ya uwindaji nchini pamoja na kuifuta kabisa kampuni hiyo katika shughuli za utalii nchini Kampuni ya Uwindaji...
View ArticleRAIS KIKWETE AKAGUA MRADI UJENZI WA NYUMBA ZA NHC MKINGA MKOANI TANGA
Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwasili katika eneo la mradi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na Shirika la Nyumba (NHC) na kupokelewa na Ndg. Felix Maagi Kaimu Mkurungenzi Mkuu NHC na Mkurugenzi wa...
View ArticleWAZIRI NYALANDU AMWAGA MSAADA WA MILIONI 10 WA MABATI 420 SHULE ZA SEKONDARI...
Diwani wa Kata ya Kinyeto, Francisco Ng’eni akipokea msaada wa mabati 200 kutoka kwa Mwenyekiti Hanje kwa niaba wa Mbunge wa Jimbo hilo Mhe, Lazaro Nyalandu.Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Singida...
View ArticleMGOMBEA URAIS WA MSUMBIJI KWA TIKETI YA FRELIMO AKUTANA NA RAIS KIKWETE,...
Mgombea Urais wa Msumbiji kwa tiketi ya chama cha Ukombozi cha FRELIMO Filipe Nyusi akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, Ikulu Ndogo mjini Tanga, mgombea huyo alipokwenda kumsalimia...
View ArticleLOWASSA AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI YA MONDULI
Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akipata maelezo kutoka kwa mhandisi msaidizi Paul Kisesa wakati alipokwenda ghafla jana kukagua ujenzi wa hospitali ya kisasa wilayani...
View ArticleChuo cha Kilimo na mifugo Kaole Kufanya mahafali ya pili kesho Julai 12
Na Andrew Chale, BagamoyoCHUO cha Kilimo na Mifugo Kaole (Kaole College of agriculture (KCA), kesho Jumamosi Julai 12, kinatarajia kufanya mahafali yake ya pili chuoni hapo huku wahitimu 291,...
View ArticleEMANUEL MBUZA AZIKWA KIJIJINI KWAO
Chipkizi wa Chama cha Mapinduzi mkoani Mbeya wakiwa wamebeba jeneza la Mwili wa Marehem,u Emanuel Mbuza aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi Wilaya ya Mbeya mjini.Mke wa maarehemu Emmanuel Mbuza...
View ArticleBALOZI MERO AWAANDALIA FUTARI WATANZANIA GENEVA
Balozi wa Tanzania katika Mashirika ya Umoja wa Mataifa, Geneva, Mhe. Modest Mero (kanzu jeupe) akila futari pamoja na wageni wake mbalimbali wakiwepo watanzania waishio Geneva katika futari maalum...
View ArticleWahitimu mafunzo ya muda mfupi sasa kusomea Diploma ya Uandisi
Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Abraham Nyanda akisoma hotuba yake wakati wa kufunga Mafunzo Unganishi(Bridging Course)yatakayowawezesha kujiunga na mafunzo ya Stashahada ya...
View Articleziara ya naibu mawaziri Nishati na Madini, Mazingira , Tamisemi na wabunge...
Ujumbe wa Tanzania uliopo nchini Canada kwa ziara ya mafunzo ukiongozwa na Naibu Waziri Nishati na Madini, Charles Kitwanga (aliyenyoosha mkono), ukiwa katika chumba cha kusimamia mitambo ya kuzalisha...
View ArticleTANZANIA YAPOTEZA SIFA NA FEDHA KIMATAIFA KWA BIDHAA ZAKE KUTUMIA BARCOD YA...
Mtanzania aishie na kufabnya shughuli zake za uhandisi nchini Ungereza, John Kihama akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam kuhusiana na matumizi ya Barcods katika bidhaa za kitanzania...
View ArticleMAJANGA CHADEMA JIMBO LA IRINGA MJINI ,VIONGOZI WAKE KATA YA RUAHA WASEMA...
Diwani wa kata ya Mtwivila Vitus Mushi akisaliama na wadau leoMbunge Ritta Kabati akisalimia na maofisa wa polisi waliofika kulinda usalama katika mkutano huoviongozi wa Chadema waliohamia...
View ArticleKINYOZI WA KIMAASAI
Mwanamke wa kimasaai mkazi wa Dar es Salaam akimnyoa nywele mwenzake kando kando ya barabara ya Bibi Titi jijini Dar es Salaam kama alivyokutwa na Camera ya Father Kidevu Blog hivi karibuni. Wanawake...
View ArticleNAMELOK SOKOINE ATIMIZA AHADI YAKE KWA KIKUNDI CHA VIKOBA- ARUSHA
Mbunge wa viti maalum CCM mkoa wa Arusha, Namelok Sokoine (kushoto), akikabidhi Shs. milioni 5 kwa Mwenyekiti wa Vikoba Kata ya Engutoto, Bilhuda Kisasa, ikiwa ni sehemu ya mchango wake wa shs....
View Article