Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10609

TANZANIA YAPOTEZA SIFA NA FEDHA KIMATAIFA KWA BIDHAA ZAKE KUTUMIA BARCOD YA NCHI NYINGINE.

$
0
0
Mtanzania aishie na kufabnya shughuli zake za uhandisi nchini Ungereza, John Kihama akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam kuhusiana na matumizi ya Barcods katika bidhaa za kitanzania zinazouzwa kimataifa ambapo alidai bidhaa za Tanzania nyingi zinatumia alama hiyo ya utambuzi kimataifa ya nchi nyingine.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 10609

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>