$ 0 0 Watu 17 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es salaam kwa makosa ya kusaidia kuingiza watu kufanya ugaidi nchini huku mmoja akihusishwa moja kwa moja na matukio ya Kigaidi nchini Kenya. pichani juu ni baadhi ya watuhumiwa hao.