KAA TAYARI KUWASHUHUDIA WAREMBO WAKALI
Ni vimwana wakali wanao wania taji la moja ya Kanda za shindano la Miss Tanzania 2014 kutoka jijini Dar es Salaam.....kaa tayari kuwajua warembo hawa wakali.
View ArticleJAJI LUBUVA AMESEMA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI HAIENDESHWI KWA RIMOTI
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa na Jaji Mstaafu Damian Lubuva akiongea na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya habari jijini Arusha jana katika semina iliyoandaliwa na Tume ya Taifa ya...
View ArticleMissie Popular Blog yamtambulisha Model wake
Young, beautiful and quite a fresh face....Yes, this is Christine,our new model!You recently saw these two images of her posing as the model she is....BUT... Have you met Christine as the young lady...
View ArticleMABONDIA WASHIRIKI WA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI WATAMBIANA
Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo (katikati),katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Thomas Mashali kushoto na Mada Maugo wakati wa utambulisho wa mpambano wao Dar es salaam juzi...
View ArticleRC RUKWA ENG. MANYANYA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA MNADANI MKOANI RUKWA
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya (kulia) akizungumza na wafanyabiashara wa mnadani Mkoani Rukwa mapema leo tarehe 14/07/2014 katika uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga. Wafanyabiashara...
View ArticleMOTO WATEKETEZA NYUMBA NA MADUKA MWANANYAMALA DAR ES SALAAM
Duka la nguo likiwa linapamba moto na maduka mengine yakiwa yameanza kupamba moto pamoja na nyumba ambayo ilikuwa imeungana na duka. Mmoja ya vijana akiwa anaanza kuokoa vitu vyake jirani na maduka...
View ArticleWAZIRI NYALANDU AKUTANA NA TAASISI MBALIMBALI ZINAZOJIHUSISHA NA UHIFADHI...
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akiagana na Bw. Dave Stewart kutoka Taasisi ya Vulcan inayojihusisha na masuala ya kuidadi tembo katika nchi 18 barani Afrika ikiwemo Tanzania mara...
View ArticleWAZEE WA KIMILA NA WAKIDINI WAASWA KUKAA NA VIJANA KUEPUKA VIOVU ,ASEMA MAPUNDA
KATIBU mkuu wa umoja wa vijana ccm (UVCCM) Taifa , Sixtus Mapunda wa pili kulia akiwa anatoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya ziara yake katika mkoa wa Arusha Waandishi wa habari wakiwa...
View ArticleTAZA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2014 HAPA
Kaimu Katibu Mkuu wa baraza la Taifa la Mitihani, Dk. Charles E. Msonde akisoma matokeo hayo ya mitihani ya kidato cha sita kwa mitihani iliyofanyika mwaka huu nchini kote. BOFYA HAPA KUONA MATOKEO YA...
View ArticleMATOKEO YA MITIHANI YA UALIMU YA MEI 2014 HAYA HAPA
Kaimu Katibu Mkuu wa baraza la Taifa la Mitihani, Dk. Charles E. Msonde akisoma matokeo hayo ya mitihani ya Ualimu kwa mitihani iliyofanyika mwaka huu nchini kote.
View ArticleWAZIRI LAZARO NYALANDU ASHIRIKI HAFLA YA KUCHANGIA USTAWI WA MISITU KAMA...
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (MB) (kati) akiwa pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Africa 6000 International Bi. Teresa Murtland (kulia) na Bw. John Bongiorno ambaye ni...
View ArticleWAFUASI WA CCM,CHADEMA NUSURA WAZITWANGE MKUTANO WA NAIBU WAZIRI WA MAJI,...
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Idd Azzan wa CCM (KULIA), akiamulia ugomvi wa Diwani wa Kimara, Pascal Manota wa Chadema (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM, Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge waliotaka...
View ArticlePSPF YASHIRIKI MKUTANO WA 98 WA WATAYARISHA VIPINDI VYA ELIMU KWA UMMA TBC
Mkurugenzi wa shirika la habari Tanzania (TBC) Clement Mshana akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 98 wa watayarishaji wa vipindi vya elimu kwa umma kupitia shirika la utangazaji Tanzania (TBC)...
View ArticleAnuary Mkama na Amida Issa waagwa rasmi DW
Kutoka kushoto Naibu Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili, Mohammed Abdulrahman, Amida Issa, mtangazaji mkongwe Sekione Kitojo na Anuary Mkama.Wafanyakazi wa DW baada ya hafla fupi ya kuwaaga watangazaji Anuary...
View ArticleMMOJA AFA NA WENGINE KUJERUHIWA BAADA YA KUANGUKIWA NA LORI LA KOKOTO...
Majira kama saa 11.30 eneo la bene msavu barabara ya iringa lori kubwa lilokuwa limebeba kokoto liliacha njia na kupinduka na kuwaangukia wafanyakazi wa kiwanda cha kutengeneza fulana cha Mazava ambao...
View ArticleWATUHUMIWA 17 WA UGAIDI WAFIKISHWA KIZIMBANI DAR
Watu 17 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es salaam kwa makosa ya kusaidia kuingiza watu kufanya ugaidi nchini huku mmoja akihusishwa moja kwa moja na matukio ya Kigaidi nchini...
View ArticleKUMBUKUMBU YA MWAKA MMOJA YA MZEE GODFREY MSEI
Marehemu Mzee Godfrey Daud MseiMpendwa Baba yetu, mpaka kufikia tarehe 15 Julai 2015 umetimiza mwaka mmoja tangu ulipoitwa na Bwana bila ya neno la kwaheri kwetu.Tunakukumbuka sana na tunakosa uwepo...
View ArticleMKUTANO WA KUJADILI MASUALA YA KODI AFRIKA WAFANYIKA JIJINI ARUSHA
Waziri wa fedha Saada mkuya akijadiliana jambo na rais wa kituo cha kimataifa cha ukusanyaji kodi na uwekezaji Daniel Witt wakati wa mkutano wa siku 3 wa majadiliano ya masuala ya kodi Afrika...
View ArticleMonduli wapewa elimu ya Kunusuru Kaya Maskini
Mkuu wa Wilaya ya Monduli,mkoani Arusha,Jowika Kasunga akifungua Warsha iliyoandaliwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii nchini(Tasaf) kwaajili ya Kunusuru Kaya Maskini kwenye vijiji 27,kushoto ni...
View Article