
Katibu mpya wa Baraza la Mwawaziri la Mambo ya Afrika Mashariki anaeshughulika na mambo ya Biashara na Utalii, kutoka Kenya, Mhe PhyllisC.Kandie akila kiapo jana mchana kama ofisa maalum katika Bbunge la Afrika Mashariki (EALA) katika Mkutano wa6wa Kikao cha1cha Baraza3ulianziamjini Kampala, Uganda jana.
Kiapo hicho chautiikwa Bunge hilo kilifanyikaulitekelezwa katikaBunge mbele ya SpikaEALA, MargaretNantongoZziwa.

Katibu mpya wa Baraza la Mwawaziri la Mambo ya Afrika Mashariki anaeshughulika na mambo ya Biashara na Utalii, kutoka Kenya, Mhe PhyllisC.Kandie akila kiapo jana.

Kikao cha Bunge kikiendelea

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania, Shy-Rose Banji akichangia hoja katika Kikao hicho cha Bunge mjini Uganda jana.