MSIBA WA ELIAS DANIEL KITUNDU
KATIBU MKUU WA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA BI JOYCE K.G. MAPUNJO ANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MTUMISHI WAKE, NDUGU ELIAS DANIEL KITUNDU KILICHOTOKEA ALFAJIRI YA LEO TAREHE 27 MEI 2013 KWA AJALI YA...
View ArticleBBA: Feza shines bright like a Diamond
Tanzania's Feza is officially the first Head Of House of the Diamond House! Can you say girl power?After a stressful day of Nominations, Feza heaved a huge sigh of relief when she pipped her fellow...
View ArticleREDD'S MISS TANGA WAJINOA
Washiriki wa shindano la Redd's Miss Tanga wakiwa katika mazoezi ya kujiandaa na shindano la mkusaka malkia wa Miss Tanga, litakalofanyika Juni 22 kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini humo. Mazoezi...
View ArticleEAC YAWANOA WAANDISHI WA HABARI ZA BIASHARA KUTOKA NCHI WANACHAMA
Naibu Katibu Mkuu waJumuiya ya Afrika Mashariki(anaeshughilikia Mipango na Miundombinu)DkEnosBuku(kulia) akijadiliana jambo na Mratibu wa Mafunzo EAC-EABC-GIG, SukhdevChhatbar, mjini Arusha leo wakati...
View ArticleMashindano ya Kimataifa ya Chess yaja.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Spicenet Tanzania Ltd, Vinay Choudary (wa pili kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu mashindano ya Kimataifa ya mchezo wa Chess...
View ArticleMSANII NGWEA AFARIKI DUNIA NCHINI AFRIKA KUSINI
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Albert Mangwea 'Ngwea'au mimi au Cowboy amefariki dunia Afrika Kusini leo.Taarifa zilizopatikana leo kutoka Afrika Kusini ambapo inasemekana msanii huyo alikuwa...
View ArticleCHUO CHA MUCCOBS-MOSHI NA IAA-ARUSHA MABINGWA WA SAFARI POOL
Wachezaji wa Mchezo wa Pool,Winfrida Mponzi kutoka Chuo cha MUCCOBS na Aluiya Herode kutoka Chuo cha SMMUCO wakishindana kulagi wakati wa mashindano ya Safari Lager Higher Learning Pool Comitition...
View ArticleMILANGO YAFUNGULIWA KWA WADHAMINI MBIO ZA UHURU MARATHON 2013
Katibu mkuu wa chama cha Riadha Taifa,Suleyman Nyambui (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa kutangaza kufunguliwa rasmi milango kwa makampuni, mashirika na...
View ArticleNUSUFAINALI ZA GFC KUNGURUMA
Jana usiku tumeona nusu fainali ya kwanza ya GUINNESS® FOOTBALL CHALLEGE™ ambapo timu ya Ghana walionesha kuwa wao ni timu bora baada ya kushinda na kuwa timu iliyoshinda kiasi kikubwa zaidi cha...
View ArticleMISS TANZANIA 2012-2013 BRIGIT ALFRED AWAFUNDA WAREMBO WA REDD'S MISS SINZA 2013
Miss Sinza na Miss Tanzania 2012-2013, Brigit Alfred (kulia) akizungumza na Warembo wanaotarajia kuwania Taji la Redd's Miss Sinza 2013, wakati alipowatembelea katika Kambi yao ya mazoezi jana katika...
View ArticleBUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) LAENDELEA MJINI KAMPALA UGANDA
Katibu mpya wa Baraza la Mwawaziri la Mambo ya Afrika Mashariki anaeshughulika na mambo ya Biashara na Utalii, kutoka Kenya, Mhe PhyllisC.Kandie akila kiapo jana mchana kama ofisa maalum katika Bbunge...
View ArticleRIPOTI YA DAKTARI HOSPITALI YA HELEN JOSEPH- AFRIKA KUSINI JUU YA KIFO CHA...
Marehemu Albert Mangwair (kushoto) akiwa na rafiki yake M to P enzi za uhai wake huko Afrika Kusini. Albert Mangwair a.k.a Mimi a.k.a Ngwair a.k.a Cowboy ni msanii wa Hip Hop ya Bongo kutoka mkoani...
View ArticleAIRTEL YAZINDUA MICHUANO YA AIRTEL RISING STARS 2013
Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel Tanzania Beatrice Singano Mallya akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa progam ya Airtel Rising Stars 2013 uliofanyika katika Ofisi za TFF jijini Dar...
View ArticleKUTOKA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI MJINI KAMPALA UGANDA
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy-Rose Banji akichangia hoja katika Mkutano wa Sita wa Bunge la kwanza katika baraza la 3 la Bunge la Afrika Mashariki (EALA) linaloendelea mjini Kampala Uganda....
View ArticleMAADHIMISHO YA SIKU YA WALINDA AMANI WA UN TANZANIA
Mgeni rasmi Waziri Mambo ya Ndani nchini Dk. Emmanuel Nchimbi, Mwakilishi wa Shirika la Chakula Duniani nchini Tanzania (WFP) Bw. Richard Ragan na Kanali Dominic Mrope wa Jeshi la Wananchi Tanzania...
View ArticleJAHAZI MORDEN TAARAB KUSINDIKIZA REDD'S MISS ARUSHA 2013 JUNE 8 MWAKA HUU
Baadhi ya Warembo wanaotaraji kuchuana katika shindano la Redd’S Miss Arusha 2013 ambao wanatoka Kitongoji cha Arusha City Centre 2013, Nancy Moshi (katikati),Glory Steven (kushoto) na wakiwa katika...
View ArticleHENRY MDIMU 'ZEE LA NYETI' AWA MSEMAJI WA ACADEMY YA KILI MUSIC AWARDS 2013/14
Meneja wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager amemtambulisha kwa waandishi wa habari, Mhariri wa habari za burudani wa gazeti la mwananchi, Bw Henry Mdimu kuwa msemaji mkuu wa Academy ya Kili Music Awards...
View ArticleSHIRIKISHO LA MUZIKI TANZANIA LATOA TAMKO JUU YA NGWEA NA M to The P
Shirikisho la Muziki Tanzania (Tanzania Music Federation) tunasikitika kutangaza kifo vya msanii ALBERT MANGWEA kilichotokea Afrika ya Kusini akiwa kwenye shughuli zake za kimuziki . Tunawapa pole...
View ArticleMWANA FA AWA BALOZI WA SAMSUNG TANZANIA
Msanii maarufu wa muziki wa Kizazi Kipya ‘Bongo Fleva’ Hamisi Mwijuma ‘Mwana FA’ (kulia) akiwa ameshikilia simu ya kiganjani aina ya Samsung Galax 4 aliyokabidhiwa muda mfupi baada ya kutangazwa kuwa...
View Article