Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10780

NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI MASELE AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA DR. LU YOUQING

$
0
0
 Balozi wa China nchini Tanzania Dr. LU Youqing (kushoto) akizungumza na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stephen Masele  juu ya hatua iliyofikiwa ya maandalizi ya kongamano la China – Afrika linalotarajiwa kufanyika  mkoani Arusha, Tanzania mapema Machi, 2015

Naibu Waziri wa Nishati na Madini  Mhe.  Stephen Masele (kulia ) na Balozi wa China nchini Tanzania Dr. LU Youqing (kushoto) wakiwa katika picha ya  pamoja mara baada ya kumalizika kikao hicho.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10780

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>