Quantcast
Channel: Father Kidevu
Browsing all 10780 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUGABE AMTUNUKU NISHANI BRIGEDIA HASHIM MBITA

Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Rais Robert Gabriel Mugabe wa Zimbabwe akimkabidhi Bi. Sheila Hashim Mbita, binti yake Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita Tuzo ya...

View Article


TAZAMA MAMBO YATAKAVYOKUWA KATIKA MRADI WA MABASI YA MWENDO KASI JIJINI DAR...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA SERIKALI HII LEO AGOSTI 18,2014

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI REDIO 5 AVITAKA VYOMBO VYA HABARI KUANDIKA NA KUANDAA VIPINDI VYA...

Mkurugenzi wa Tan Communication Media  inayo miliki kituo cha  Radio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha  Bw Robert Francis  akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASANII KILI MUSIC TOUR WAMFARIJI AFANDE SELE MSIBA WA MKEWE

 Baadhi ya Wasanii waliokuwa kwenye onesho la Kilimanjaro Music Tour lililofanyika mkoani Dodoma jana,leo walipitia nyumbani kwa Mfalme wa Rhymes a.k.a Simba Mzee a.k.a Afande Sele kumpa mkono wa pole...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUWASHIRIKISHA VIJANA KATIKA PROGRAMU ZA MAENDELEO

Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya watu duniani (UNFPA), Dkt Natalia Kanem akizungumza wakati wa maadhimisho hayo ya siku ya kimataifa ya vijana duniani kwenye viwanja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

S & D COLLECTION YAJITOSA UDHAMINI MISS TANZANIA 2014

Mkurugenzi wa Kampuni ya S & D Collection, Devota Kijogoo Mtambo akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo wakati akitangaza udhamini wake katika Shindano la Miss Tanzania 2014. Pamoja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jaji Lewis Makame afariki Dunia

 Taarifa iliyoifikia hivi punde,inaeleza kuwa aliewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini,Jaji Mstaafu Lewis Makame (pichani) amefariki dunia mchana huu katika hopitali ya Hospital ya AMI...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FAINALI YA TANZANIA MOVIE TALENTS NDIO HABARI YA MJINI KWA SASA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA POSTA KUTOA MIKOPO KWA WANACHAMA WASTAAFU WA MFUKO WA PENSHENI WA LAPF

Kutoka kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta (TPB), Sabasaba Moshingi, Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka na baadhi ya viongozi meza kuu wakiwa wameshikana mikono na kuinyanyua juu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAHARUKI: BOMBA LA MAFUTA LA TAZAMA LAPASUKA GONGO LA MBOTO

Na Father Kidevu Blog.Bomba la mafuta linalotumika kusafirisha mafuta kutoka Bandari ya Dar es Salaam Tanzania hadi Nchini Zambia lijulikanalo kama TAZAMA limetobolewa na mafundi waKampuni ya Raddy...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU UJENZI AKAGUA UKARABATI WA MV KIGAMBONI LEO

Brigedia Jenarali Rogastian Shaban Laswai akitoa ufafanuzi kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Mussa Iyombe kuhusiana na maendeleo ya ukarabati wa Kivuko cha Mv Kigamboni. Wa pili kulia ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI MASELE AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI...

 Balozi wa China nchini Tanzania Dr. LU Youqing (kushoto) akizungumza na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stephen Masele  juu ya hatua iliyofikiwa ya maandalizi ya kongamano la China – Afrika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mazungumzo na Salma Moshi kuhusu uchaguzi DMV

 Salma Moshi akizungumza na Mubelwa Bandio kwenye mahojiano hayaAgosti 9, 2014, Jumuiya waTanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia nchini Marekani ilifanya uchaguzi wake mkuu. Matokeo yake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISS TEMEKE 2014 HIYOOOOO!!

 Vimwana wa Miss Temeke 2014 wakiwa kwenye pozi la picha,ikiwa ni sehemu ya maandalizi yao ya kuelekea kwenye kinyang'anyiro chao kitakachofanyika kwenye Ukumbi wa TCC klabu Chang'ombe jini Dar es...

View Article


MABASI YAGONGANA USO KWAUSO SIKONGE NA KUUA 17 LEO

Watu 17 wanaripotiwa kufa katika ajali iliyotokea hii leo Wilayani Sikonge Mkoani Tabora baada ya mabasi mawili kugongana uso hii leo. Mabasi hayo ni Sabena lililokuwa likitokea mkoani Mbeya na basi la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA SERIKALI HII LEO AGOSTI 20,2014

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAANDALIZI YA UTOAJI MIKOPO KWA MWAKA WA MASOMO 2014/2015

Mkurugenzi Msaidizi Habari, Elimu na Mawasiliano toka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Bw. Cosmas Mwaisobwa akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya utoaji mikopo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI KUU YA CCM YAKUTANA DODOMA

 Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiingia kwenye ukumbi wa NEC Dodoma ,akiongozana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana tayari kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA WABUNGE NA WAGOMBEA WATARAJIWA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA 2015 TANZANIA

Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Rais unataraji kufanyika hapo mwakani, Wabunge na wanaotaka kuwania Ubunge katika majimbo mbalimbali nchini hata urais mnakaribishwa kuandaa TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI...

View Article
Browsing all 10780 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>