$ 0 0 Radamel Falcao akiwa ameshikilia uzi wa timu yake mpya ya Manchester United muda mfupi baada ya kukamilisha taratibu za usajili wake ambapo amesaini mkataba wa kuichezea timu hiyo kwa mkopo.