VIDEO YA MKUBWA NA WANAWE YAZINDULIWA MAISHA CLUB CHINI YA VODACOM TANZANIA
Waimbaji wanaounda kundi la “Yamoto Band”Aslay, Becka, Bella na Maromboso wakitoa burudani wakati wa uzinduzi wa video yao ya mkubwa na wanawe,uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa New Maisha Club...
View ArticleUPEPO WAZUA BALAA JIJINI DAR ES SALAAM
Upepo mkali uliotangazwa na Malka ya Hali ya Hewa nchini Tanzania (TMA) kuwa utakuwa mkubwa na mawimbi bahari ya Hindi umeanza kuleta athari jijini Dar es Salaam kwa miti kuanguka ambapo leo majira ya...
View ArticleRACHAEL CLAVERY NDIYE MISS LAKE ZONE 2014
Malkia wa kanda ya Ziwa, 'Miss Lake Zone 2014' Rachael Clavery (katikati) akiwa jatika picha ya pamoja na mshindi wa pili Mary Emanuel (kulia) na Mshindi wa tatu Nikole Sarakikya (kushoto) mara baada...
View ArticlePATA NAKALA YAKO YA MAGAZETI YA SERIKALI HII LEO SEPTEMBA 2 2014
Magazeti yaliyosheheni matangazo na habari kem kem za uhakika. Matangazo ya Tenda na ajira lukuki.
View ArticleFACAO SASA KUSAIDIA UKARABATI WA MANCHESTER UNITED BAADA YA KUSAINI MKATABA
Radamel Falcao akiwa ameshikilia uzi wa timu yake mpya ya Manchester United muda mfupi baada ya kukamilisha taratibu za usajili wake ambapo amesaini mkataba wa kuichezea timu hiyo kwa mkopo.
View ArticleFATHER EVOD SHAO AAGWA KWA KISHINDO BALTIMORE MD.
Fr. Shao wa kanisa la Katoliki Balktimore anayeongoza Parokia hiyo pamoja na misa za Kiswahili DMV akiwa na Padre anayechukua nafasi yake Fr.Honest Munishi Jumapili katika ibada maalum ya kumwaga Padre...
View ArticleSTAR WA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) 2014, MWANAAFA MWINZAGO AWA KIVUTIO...
Mshindi wa Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 Mwanaafa Mwinzago (Katikati) akisindikizwa na Matron pamoja na Mfanyakazi wa TMT huku akilindwa na Mabaunsa wakati alipopelekwa Katika Mitaa ya Kariakoo...
View ArticleYANGA TUNAWASUBIRI MOROGORO KUWAPA KICHAPO: MTIBWA SUGER
N a Fadharkidev BlogKOCHA wa Mtibwa Sugar Mecky Mexime,amesema kikosi chake kimejiandaa kuitoa nishai Yanga katika mchezo wa ufunguzi utakaochezwa Septemba 20 kwenye uwanja wa Jamhuri Morogoro.Mexime...
View ArticleAMERICAN SENATORS VISIT SERENGETI NATIONAL PARK
Director General of TANAPA Mr. Allan Kijazi (right) welcomes the Chairperson of the US Senate Committee on Agriculture, Nutrition and Forestry and Michigan Senator Ms. Debbie Stabenow during the...
View ArticleYANGA KUJIPIMA KWA THIKA UNITED YA KENYA UWANJA WA TAIFA
Na Fadhar Kidevu BlogKOCHA wa Yanga Marcio Maximo,amesema atashusha kikosi kamili kesho wakati timi hiyo itakapokuwa inapambana na Thika United ya Kenya katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa utakao...
View ArticleRAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA AMANI NA USALAMA WA BARAZA LA AMANI NA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenzatta jijini Nairobi leo kujiunga na viongozi wengine wanaounda Baraza la Amani na Usalama la nchi za umoja wa...
View ArticleTAARIFA YA MSIBA WA BAHATI MWAKABUNGU
MAREHMU BAHATI MWAKABUNGU ENZI ZA UHAI WAKEWANAFUNZI AMBAO TUMEPITA CHUO CHA BIASHARA KITUO CHA DAR ES SALAAM (CBE) TUNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA ALIYEKUWA MWANAFUNZI MWENZETU BAHATI MWAKABUNGU...
View ArticleAysha Cheyo ndiye Miss Tanzania USA Pageant 2014
Miss Tanzania USA Pageant wa 2013 Joy Kalemera akimvisha taji miss Tanzania USA pageant 2014 Aysha Cheyo siku ya Jumamosi Aug 31, 2014 Baada ya kunyakua taji hilo kwenye mashindano ya umiss...
View ArticleAZAM FC YAPATA UDHAMINI WA BENKI YA NMB
Na Fadha Kidevu BlogMABINGWA wa soka Tanzania bara wameingia mkataba wa miaka miwili na Benki ya NMB jana Kwa mujibu wa Mweyekiti wa Azam Said Mohamed alisema mkataba huo utakuwa ikiisadia timu hiyo...
View ArticleOKWI, BANDA WASAJILIWA TIMU MBILI-TFF
Na Fadha Kidevu BlogSHIRIKISHO la soka Tanzania TFF,limetoa majina ya wachezaji waliosajiliwa na timu 14 ambazo zinashiriki Ligi Kuu ya Tanzania bara huku majina ya wachezaji Emmanuel Okwi na Abdi...
View ArticleYANGA YAINYOA 1-0 THIKA UNITED
MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga raia wa Brazili Geilson Santana Santos 'Jaja aliwatoa wasiwasi mashabiki wa timu hiyo baada ya kufunga bao pekee lililoipa ushindi timu yake wakati ilipopambana na Thika...
View ArticleCHADEMA KUANZA MCHUJO WA WAGOMBEA WAKE LEO
Mkurugenzi wa Organizesheni, Mafunzo na Uratibu wa Kanda wa Chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Singo Kigaila Benson akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati akitamngaza...
View Article