Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10598

CHADEMA KUANZA MCHUJO WA WAGOMBEA WAKE LEO

$
0
0
 Mkurugenzi wa Organizesheni, Mafunzo na Uratibu wa Kanda wa Chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Singo Kigaila Benson akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati akitamngaza majina ya wagombea mbalimbali katika chaguzi za chama hicho.
 Mkurugenzi wa Organizesheni, Mafunzo na Uratibu wa Kanda wa Chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Singo Kigaila Benson akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati akitamngaza majina ya wagombea mbalimbali katika chaguzi za chama hicho.Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Habari CHADEMA, Tumaini Makene.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10598

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>