Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10798

UPDATE: ZA AJALI YA ILIYOTOKEA MUSOMA HII LEO 39 WAPOTEZA MAISHA

$
0
0
  Basi la J4 Express  T677CYC lililokuwa linatoka Sirari kwenda Mwanza limegongana uso kwa uso na basi la Mwanza Coach T736AWJ leo mchana na watu zaidi ya 39 wamepoteza maisha huku wengine zaidi ya 70 kujeruhiwa.

Taarifa kutoka Musoma zinapasha kuwa maiti 25 kati ya 39 zimetambuliwa na ndugu wa marehemu. 

Ajali hiyo mbaya ambayo inaelezwa kuvunja rekodi ya matukio ya ajali ya baravbarani yakihusisha mabasi kuwahi kutokea kwa mwaka huu, imetokea katika eneo la daraja la sabasaba, Musoma wakati moja ya mabasi hayo yakiovateki gari lingine. Father Kidevu Blog itawajuza zaidi kuhusiana na tukio hilo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10798

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>