Quantcast
Channel: Father Kidevu
Browsing all 10788 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPDATE: ZA AJALI YA ILIYOTOKEA MUSOMA HII LEO 39 WAPOTEZA MAISHA

  Basi la J4 Express  T677CYC lililokuwa linatoka Sirari kwenda Mwanza limegongana uso kwa uso na basi la Mwanza Coach T736AWJ leo mchana na watu zaidi ya 39 wamepoteza maisha huku wengine zaidi ya 70...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI AFUNGA KAMBI YA UVCCM

 Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini Mohamed Aziz Abood  Akimkabidhi cheti Kada UVCCM Wilaya ya Morogoro mjini CCM,Wakati wa kufunga kambi ya UVCCM kutoka kata za Manispaa ya Morogoro eneo la Morning...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Walawala CUP kuwasha moto Muheza

Mratibu wa mashindano ya OG Walawala Cup,Omari George (kulia) akipokea jezi zitakazotumika katika mashindano hayo kutoka Meneja Masoko wa Kampuni ya Isere Sports, Abas Ali Isere katika hafla fupi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK.BINGWA WA SARATANI YA MATITI TOKA INDIA AFANYA MAZUNGUMZO HOSPITALI YA...

Profesa Pais (kulia), akizungumza na madaktari viongozi na madaktari wa Hospitali ya Bugando. Kutoka kushoto ni Daktari wa Kitengo cha Magonjwa ya Saratani wa hospitali hiyo Dk.Beda Likonda na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JULIAUS KISALAWE AMPIGA BONANS SAMWELI KWA POINTI KATIKA UKUMBI WA NDAME GYM

 Bondia bonans Samweli kushoto akimrushia konde Julius Kisalawe wakati wa mpambano wao uliofanyika katika GYM ya Ndame Dar es salaam jana Kisalawe alishinda kwa point mchezo huo Bondia Julius Kisalawe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARI ZA SOKA KUTOKA TFF HII LEO

MBUNGE MTANDA KUFUNGA KOZI YA LESENI AMwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii, Mheshimiwa Said Mtanda anatarajia kufunga kozi ya ukocha ya Leseni A ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI WAWILI WAUWAWA KATIKA TUKIO LA KUVAMIWA KITUO CHA POLISI USHIROMBO GEITA

Askari wa wawili wa Jeshi la Polisi kituo Kikuu cha Ushirombo kilichopo Wilaya ya Bukombe mkoani Geita wafefariki huku wengine wawili wakijeruhiwa baada ya kundi la majambazi kuvamia kituo hicho usiku...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA HII BALAAAAAAA!!! YAITUPIA 3-0 GOR MAHIA YA KENYA, KIONGERA 'Modo'...

Kikosi cha kwanza cha Simba kilicho anza hii leo taifa dhidi ya Gor Mahia ya Kenya. Na Beatrice Mroki-Taifa Dar es SalaamAKIWA anaijua vyema timu yake ya zamani ya Gor Mahia ya Kenya, nyota mpya wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. KINGWANGALA ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS 2015

Na Father Kidevu Blog Kada wa Chama cha Mapinduzi na Mbunge wa Nzega Mkoani Tabora, Dk. Hamisi Nassor Kingwangala leo amevunja ukimya na kuweka wazi nia yake ya kuwania nafasi ya Urasi wa Jamhuri ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA UMMA: TOLEO LA SARAFU YA SHILINGI MIA TANO

Mkurugenzi Huduma za Kibenki kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Bw. Emmanuel Boaz (kulia) na Mshauri wa Fedha kutoka ofisi hiyo Bw. Hassan Jarufu wakiwaonesha waandishi wa Habari(Hawapo Pichani) Toleo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KILIMO NI BIASHARA Ukiiona fursa usipuuzie ifanyie kazi.

Binafsi naamini kuwa kilimo ni moja ya sekta ambayo kama tutaamua kwa dhati na tukawaelekeza watu wetu kuwekeza kidogo walichonacho kwenye kilimo huku tukitumia vema ushauri wa wataalamu wa kilimo na...

View Article

POLISI WENGINE WAWILI WAFA KATIKA AJALI KISARAWE.NI WA OYSTERBAY NA MKUU WA...

Jeshi la Polisi nchini limepata pigo jingine baada ya askari wake wengine wawili kutoka Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kkatika ajali huko Kisarawe mkoani Pwani hii leo. Waliopoyeza maisha ni mkuu wa kituo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OKWI RUKSA KUICHEZEA SIMBA

Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imekutana leo (Septemba 7 mwaka huu) na kupitia masuala mbalimbali ikiwemo mgogoro wa kimkataba kati ya klabu ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO TSN SEPTEMBA 08 2014

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAPE ATOA DARASA KWA VIONGOZI WA CCM UINGEREZA

 Katibu wa NEC itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na viongozi wa mashina ya CCM Uingereza  ambapo aliwaambia matawi ya CCM nje ya nchi yawe mawakala wa kuleta mabadiliko ndani ya chama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tamasha la 'Handeni Kwetu' lapania kuvunja rekodi

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAMMRATIBU Mkuu wa Tamasha la Utamaduni Handeni, maarufu kama ‘Handeni Kwetu’, Kambi Mbwana, ameapa kuhakikisha kuwa tamasha lao msimu wa 2014 linakuwa la aina yake na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LAPF YAZINDUA HUDUMA MPYA YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU KWA WANACHAMA WAKE

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -Tamisemi, Mh. Hawa A. Ghasia, akitoa neno kwa wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya mkopo wa elimu ya juu‘Piga Kitabu na LAPF’Uzinduzi rasmi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SKYLIGHT BAND YATIKISA JIJI LA DAR

Digna Mbepera wa Skylight Band akifanya yake jukwaani kwenye tamasha la Nyama Choma lililofanyika kwenye viwanja vya michezo vya Chuo kikuu cha Dar es Salaam-UDSM mwishoni mwa juma.  Ni hisia tu hakuna...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 CALL FOR ENTRIES!!

MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 CALL FOR ENTRIES!! Do you have what it takes to follow in footstep of beautiful and sassy Betty Boniface? you could be the one from 20 finalists representing Tanzania at the...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGIMWA AANZA KUFANYIA KAZI MAAGIZO YA RAIS DR KIKWETE ,APANIA KUKAMILISHA...

Mbunge wa  jimbo la Kalenga  Godfrey  Mgimwa  kushoto akisalimiana na  viongozi mbali mbali wa kata ya Nzihi  mara  baada ya  kufika shule ya sekondari  Kidamali  kushiriki harambee ya kuchangia...

View Article
Browsing all 10788 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>