Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10588

MAKAMU WA RAIS WA TANZANIA AWAAGA MAHUJAJI LEO

$
0
0
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwahutubia baadhi ya Mahujjaji wanaotarajiwa  kwenda kutekeleza Ibara ya Hijja huko Makka, katika viwanja vya Karimjee Dar es salaam leo
 Makamu wa Rais Dkt Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Viongozi wa Taasisi ya Shirikisho ya  kamati za Hijja alipowasili Viwanja vya Karimjee Dar es salaam leo
 Baadhi ya Mahujjaji wanaotarajiwa kwenda kutekeleza ibada ya Hijja huko Makka, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal alipokua akiwahutubia katika viwanja vya Karimjee

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10588

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>