Mbunifu wa Mavazi wa Kimataifa Ngowi Akutana na Rais Kikwete IKULU LEO
Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi(kulia)akibadilishana mawazo na Rais Jakaya Kikwete Ikulu leo Jijini Dar es Salaam alipomtembelea na kujadili mambo mbalimbali Rais Jakaya Kikwete akipitia...
View ArticleSIMBA KUVAANA NA URA IJUMAA HII TAIFA
Zahoro Pazi wa Simba, akikimbia na mpira huku akifuatwa na Dereck Waluliya wa timu ya URA ya Uganda wakati wa mchezo wa kirafiki wa Kimataifa kati ya timu hizo, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es...
View ArticleWANAJESHI 3 NA RAIA 1 WAFA KATIKA AJALI YA KIFARU MTWARA
Ajali nyingine yatokea mtwara na kuua wanajeshi watatu na raia mmoja baada ya kifaru kujaribu kukwep Lori la mabomba ya gesi na kuvaa nyumba.
View ArticleSIJAUTUMIA UJANA WANGU KAMA SIKLAHA YA KUGOMBEA URAIS 2015. KINGWANGALA
Mbunge wa Nzega ambaye pia ni Mchezaji wa timu ya wabunge wa Simba, Dk. Hamis Kingwangala (kushoto) akiwa uwanjani akilisakata kabumbu. ******* Wakati nafanya tafakuri ya kama nigombee Urais mwakani...
View ArticleAirtel yatoa msaada wa vitabu kwa shule za sekondari Dar
Meneja wa Kitengo cha Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (kulia), akikabidhi vitabu vya masomo ya sayansi vyenye thamani ya shilingi milioni 4.5/-, kupitia Mradi wa ‘Airtel Shule Yetu’ kwa...
View ArticleWASHINDI TUZO ZA HABARI ZA TANAPA 2013 WAENDELEA NA ZIARA YA MAFUNZO KATIKA...
Washindi wa Tuzo za Habari za TANAPA 2013. Kutoka kulia ni Vedasto Msungu (ITV), Gerald Kitabu (The Guardian), David Rwenyagira (Radio Five) na Meneja Mawasiliano wa TANAPA Pascal Shelutete katika...
View ArticleDC NEWALA ATEMBELEA DARASA LA SABA MNYAMBE NA MNAYOPE
Mkuu wa Wilaya ya Newala, mkoani Mtwara, Christopher Magala akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi na walimu wa shule ya Msingi Mnyambe na Mnayope alipozitembelea jana kukagua hali ya ufanyaji...
View ArticleOSCAR PISTORIUS ATIWA HATIANI KWA KUUA BILA KUKUSUDIA
JAJI katika kesi ya Oscar Pistorius amemtia hatiani kwa kuua bila kukusudia mkiambiaji huyo katika kesi uiliyokuwa ikimkabili kwa mauaji ya binadamu kwa uzembe. Jaji Thokozile Masipa ametoa hukumu...
View ArticleMSIKITI WA MTAMBANI WASHIKA MOTO TENA
Ikiwa bni mwezi mmoja kamili umepita tangu moto mkali uliozuka majira ya saa 12:30 jioni wakati wa swala ya Magharibi na kuteketeza msikiti wa Mtambani uliopo Kinondoni jijini Dar es salaam leo tena...
View ArticleWANAWAKE VAENI NGUO SASA, KAMA KUVUA MUMESHAVUA IMETOSHA
MOJA ya sifa ya mwandishi ni kusoma, na katika kusoma huko na kupekua pekua hapa na pale unaweza kujifunza na kupata la kuandika kupitia maandiko ya watu wengine na kutoa elimu kwa umma. Leo nimepita...
View ArticleWAREMBO MISS TANZANIA 2014 WAWASILI KAMBINI, KANDA YA ZIWA WAENDESHA GARI YAO...
Na Father Kidevu BlogWanyange 30 wanao wanbia taji la Redd's Miss Tanzania 2014 leo wameingia kambini tayari kwa safari ya fainali za Miss Tanzania 2014 zitakazo fanyikia mapema mwezi Oktoba jiji Dar...
View ArticleTANGAZO LA MSIBA WA MZEE IDRISA KILANGI
Bwana Mfaume Kilangi wa Tuangoma Marela-Kigamboni Jijini Dar es Salaam anasikitika kutanga kifo cha baba yake mnzazi MZEE IDRISA KILANGI (pichani) kilichotokea alfajiri ya kuamkia leo jijini Dar es...
View ArticleNYUMBA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA MBAGALA KUU
Nyumba inapangishwa Mbagala Kuu,ina maji, umeme, vyumba 3, sebule ipo kila kitu ndani.na sehemu ya kuegesha gari. Mawasiliano piga simu. 0715 896551
View ArticleMAKAMU WA RAIS WA TANZANIA AWAAGA MAHUJAJI LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwahutubia baadhi ya Mahujjaji wanaotarajiwa kwenda kutekeleza Ibara ya Hijja huko Makka, katika viwanja vya Karimjee...
View ArticleJUKWAA LA KATIBA TANZANIA YAELEZA MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIWA BAADA YA...
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata) Deus Kibamba (wa pili kulia) akizungumza katika mkutano huo. Kutoka kulia ni Mratibu wa Jukata, Diana Kidara, Mratibu wa Mtandao wa Mapambano ya Ukimwi...
View ArticleCHELSEA YAMKANDAMIZA 4-2 SWANSEA
Diego Costa akishangilia moja ya magoli yake..dhidi ya Swansea City John Terry akiwa amepiga magoti kusikitika goli alilojifunga mwenyewe. Loic Remy akifunga goli la nne na lamwisho kwa Chelsea....
View ArticleNYUMBA ZINAPANGISHWA
Sehemu ya mbele. ENEO: Nyumba ipo PUGU-Umbali wa mita 100 toka Barabara Kuu ya lami. Nyumba 3 za familia zipo ndani ya eneo moja kila moja inajitegemea. UKUBWA: Kila moja ina vyumba 3...
View ArticleARSENAL YALAZIMISHWA SARE YA 2-2 NA MANCHESTER CITY
Leo Arsenal wamelazimika kutoka sare ya mabao 2-2 Manchester City huku nyota wake iliyomsajili kutoka Manchester United Danny Welbeck akishindwa kuonesha makucha yake licha ya kutabiriwa makubwa ndani...
View ArticleKINANA AUNGURUMA MKURANGA AWATAKA VIONGOZI WALIOJILIMBIKIZIA VYEO WAJIPIME
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutumia katika mkutano wa hadhara mjini Kimanzichana, wilayani Mkuranga, Pwani , alipoanza zira ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi inayotekelezwa...
View ArticleZaidi ya 100 wahudhuria Jukwaa la Katibu Mkuu EAC
Na Mtuwa Salira,EANAWajumbe zaidi ya 100 kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanahudhuria mkutano wa siku mbili wa Jukwaa la Katibu Mkuu wa EAC kuhusu sekta binafasi na vyama vya...
View Article