
Mkuu wa Wilaya ya Monduli,mkoani Arusha,Jowika Kasunga akifungua hafla ya lishe bora iliyoandaliwa na kituo cha redio 5 cha jijini Arusha kwa kushirikiana na wadau wa KABI, AVRDC,Hort Tengeru,Inades formulation pamoja na airish Aid yenya kauli mbiu ya LISHE BORA KWA AFYA yaliyofanyika katika hospitali ya wilaya ya Monduli
Meneja masoko wa Redio 5Bi.Sarah Keiya akizungumza katika hafla ya lishe bora iliyoandaliwa na kituo cha redio 5 cha jijini Arusha kwa kushirikiana na wadau wa KABI, AVRDC,Hort Tengeru,Inades formulation pamoja na airish Aid yenya kauli mbiu ya LISHE BORA KWA AFYA yaliyofanyika katika hospitali ya wilaya ya Monduli
Mganga mkuu wa hospitali ya wilaya ya Monduli Zavery Benela akizungumza katika Hafla ya lishe bora iliyoandaliwa na kituo cha redio 5 cha jijini Arusha kwa kushirikiana na wadau wa KABI, AVRDC,Hort Tengeru,Inades formulation pamoja na airish Aid yenya kauli mbiu ya LISHE BORA KWA AFYA yaliyofanyika katika hospitali ya wilaya ya Monduli.
Katibu mwenezi ambaye pia ni diwani wa kata hiyo Isack Joseph maarufu kwa jina la kadogoo akizungumzia hafla hiyo ambapo aliwapongeza waandaaji kwa kuweza kuandaa shughuli kama hiyo ambayo itasaidia jamii kupata elimu juu ya lishe bora hali itakayopelekea wao kuepuka magonjwa mbalimbali

Taswira katika halfa Hafla ya lishe bora iliyoandaliwa na kituo cha redio 5 cha jijini Arusha kwa kushirikiana na wadau wa KABI, AVRDC,Hort Tengeru,Inades formulation pamoja na airish Aid yenya kauli mbiu ya LISHE BORA KWA AFYA yaliyofanyika katika hospitali ya wilaya ya Monduli

Sehemu ya wageni waliohudhuria hafla hiyo

Meneja mbunifu wa redio 5 Vicky Mwokoyo kulia,katikati meneja biashara Angela Maina wakiwa wanamkabidhi vifaa vya upimaji magonjwa kwa mganga mkuu wa hospitali ya wilaya Monduli Zavery Benela iliyotolewa na kampuni ya Tan Communication Media inayo miliki kituo cha Radio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha

Kulia Semio Sonyo na Yacub Simba watangazaji wa redio 5 wakiwa wanafatilia elimu juu ya lishe bora

Mkurugenzi wa Tan Communication Media inayo miliki kituo cha Radio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha Bw Robert Francis akiwa anapata vyakula vya mboga mboga kwa afya


Mtafiti kutoka Horti Tengeru Silvest Samali akiwa anaongea katika hafla hiyo

Wadau wakiwa wanafatilia

Afisa kilimo Arusha DC Bi.Lucy Mvungi akiwa anaelezea umuhimu wa kula mboga za majani kwa afya

Mratibu wa lishe Bi.Aisha Msangi akiwa anatoa elimu katika hafla hiyo ambapo alisema kuwa lishe bora ni ile yenye mlo kamili kwa maana ya wanga,protini ,mafuta,vitamini na madini

Hapa wadau wakiwa wanapatiwa elimu ya namna ya kutengeneza supu ya maboga


Mkuu wa Wilaya ya Monduli,mkoani Arusha,Jowika Kasunga akiwa anapata chakula cha mboga mboga
Katibu mwenezi ambaye pia ni diwani Isack Joseph akiwa anapata keki iliyotengenezwa na mbegu za mchicha

Meneja masoko wa Redio 5Bi.Sarah Keiya akiwa anafurahia chakula cha mboga mboga

Mganga mkuu wa hospitali ya wilaya ya Monduli Zavery Benela akiwa anapata chakula cha mboga mboga

Mkurugenzi wa Tan Communication Media inayo miliki kituo cha Radio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha Bw Robert Francis akiwa na timu yake

Mwandishi wa habari gazeti la Mtanzania Elia Mbonea akifurahia chakula cha mboga mboga

Watangazaji wa kituo cha redio 5 wakiwahudumia wagonjwa ndani ya wodi

Mwaandishi muandamizi wa cnanel Ten Jamilah Omary akifurahia chakula cha mboga mboga

Mmiliki wa mtandao wa jamiiblog, Pamela Mollel akipata chakula cha mboga mboga kama lishe bora kwa afya

Muonekano katika wodi ya wagonjwa hospitali ya wilaya ya Monduli mkoa Arusha(Habari picha na Pamela wa jamiiblog)