MBUYU TWITE AFUARAHIA YANGA KUMALIZANA NA FC LUPOPO
Na Fadher Kidevu BlogBEKI Mbuyu Twite,ameushukuru uongozi wa Yanga kwa kufikia makubaliano na timu yake ya zamani ya FC Lupopo kuhusu madai ya fedha za malipo ya usajili wake.Baada ya malumbano ya muda...
View ArticleYANGA YA JAJA YALALA 2-0 KWA MTIBWA SUGER
Na Fadher Kidevu BlogMSHAMBULIAJI raia wa Brazili Geilson Santana Santos JAJA jana ameshindwa kuingarisha tena timu yake ya Yanga baada ya jana kuambulia kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Wanatamtam...
View ArticleMISS TANZANIA WATOA MSAADA HOSPITALI YA KILEMA NA MARANGU MOSHI
Washiriki wa Shindano la Redds Miss Tanzania 2014 walitoa misaada ya kijamii katika Hospitali za Misheni Kilema na ile ya K.K.K.T Marangu baada ya kutembelea Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro. Mwakilishi wa...
View ArticleWAGENI NDANDA FC NA TIMU ZA AZAM FC, PRISONS, MGAMBO JKT ZAANZA VYEMA LIGU...
Kavumbagu akishangilia mechi ya jana na Polisi MoroNa Fadher Kidevu BlogMABINGWA wa tetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania bara Azam FC wameanza vyema mpya wa Ligi ya Vodacom baada ya kuifunga Polisi Moro...
View ArticleRAIS KIKWETE AHUDHURIA HAFLA YA KUMPONGEZA KWA UONGOZI MZURI YA USIKU WA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipokea zawadi ya ngao na kikombe toka kwa mwakilishi wa CCM New York na Vitongoji vyake Bw. Isaack Kibodya kama pongezi kwa uongozi uliotukuka...
View ArticleEAC yatoa changamoto kwa waandishi habari
Baadhi ya Wapigapicha za habari kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa EAC anayeshughulikia Shirikisho la Kisiasa Dr Julius Rotich...
View ArticleCCM KUANZA KUWATIMUA VIONGOZI WAVIVU,WASIO NA KAZI NA WALA RUSHWA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Mlandizi, Kibaha Vijijini, ambapo alisema kua CCM itaanza kuwafukuza viongozi wabovu na wala rushwa. Kinana yupo...
View ArticleWAREMBO MISS TANZANIA WASHUHUDIA UPIMAJI WAGONJWA WA EBOLA UWANJA WA NDEGE WA...
Washiriki wa Shindano la Redd's Miss Tanzania 2014, wakimsikiliza Afisa Mfawidhi, Nisalile Mwangoka aliyekuwa akiwapa maelezo juu ya upimaji wa wageni wanao ingia nchini kupitia viwanja vya ndege...
View ArticleMSAMA AWAPIGA TAFU YATIMA DAR
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama (lushoto), akimkabidhi sehemu ya msaada wa vyakula Katibu Mkuu wa Kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Maunga Center cha...
View ArticleTUNDA MAN ASINDIKIZA SHOW YA VIPAJI WAREMBO MISS TANZANIA BABATI MKOANI MANYARA
Warembo 15 kati ya 30 wanaoshiriki shindano la Redds Miss Tanzania 2014 wakisindikizwa na mkali wa Bongo Fleva kutoka Jijini Dar es Salaam, Tunda Man, wametoa burudani kali wakati wa shindano dogo la...
View ArticleAMERICAN COUPLE GET MARRIED ON MOUNT KILIMANJARO
The groom Richard Miller is seen putting a wedding ring to the bride Kara Lee in Mount Kilimanjaro. Kara Lee is also doing the same on wedding ring to her new husband in Mount Kilimanjaro. Ms. Kara Lee...
View ArticleSERIKALI IMEWATAKA WANANCHI KUJIHADHARI NA VISHOKA KATIKA UPIMAJI ARDHI.
Mkurugenzi Upimaji na Ramani wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Mikazi Bw. Justo Lyamuya akizungumza na waandishi wa habari kuhusu taratibu za upimaji wa viwanja nchini na kutoa tahadhari kwa...
View ArticleZIARA YA KINANA JIMBO LA CHALINZE MKOA WA PWANI
Polisi na Kijana Hamis Gabriel (kushoto) wakimsaidia Mama mwenye ulemavu Halima Salehe, aliyefika kwa nia ya kumuona Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, kwenye uzinduzi wa soko jipya la kisasa la...
View ArticleKIONGERA KUIKOSA MECHI YA SIMBA NA YANGA KUKAA NJE YA DIMBA KWA WIKI SITA
Na Fadher Kidevu BlogKIUNGO mshambuliaji wa Simba Raphael Kiongera,huenda akalikosa pambano la watani wa jadi Simba na Yanga kutokana na maumivu makali ya goti.Kiongera alipata maumivu hayo Jumapili...
View ArticleREDIO 5 WAANDAA HAFLA YA LISHE BORA MONDULI
Mkuu wa Wilaya ya Monduli,mkoani Arusha,Jowika Kasunga akifungua hafla ya lishe bora iliyoandaliwa na kituo cha redio 5 cha jijini Arusha kwa kushirikiana na wadau wa KABI, AVRDC,Hort Tengeru,Inades...
View ArticleYANGA KUANZA KUMTUMIA EDWARD CHARLS BAADA YA KUUMIA KWA OSCAR JOSHUA
Na Fadhaer Kidevu BlogBEKI mpya aliyesajiliwa na Yanga akitokea JKT Ruvu Edward Charls,huenda Jumapili akaanza kuichezea timu hiyo kwa mara ya kwanza baada ya Oscar Joshua kusumbuliwa na nyama za...
View ArticleZANZIBAR WAAZDHIMISHA MIAKA 50 YA EIMU BILA MALIPO LEO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Walimu na Wanafunzi katika Sherehe za Miaka 50 ya Elimu bila malipo zilizofanyika kitaifa katika Uwanja wa...
View Article