
Mkurugenzi wa Kitengo cha Rasilimali watu Airtel Tanzania Patric Foya akiongea wakati wa zinduzi wa wiki ya Rasimali watu uliofanyika katika Ofisi za makao makuu ya Airtel ambapo wafanyakazi watapata fulsa ya kupata elimu juu ya sera kuhusu mafao mbalimbali na haki yao za kimsingi na huduma nyinginezo zinazotolewa na kusimamiwa na kitengo cha Rasilimali watu, hafla ya uzinduzi huo imefanyika katika ofisi za Airtel Moroko leo

Baadhi ya wafanyakazi wa kitengo cha rasilimali watu cha Airtel Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi wa wiki ya Rasilimali watu iliyozinduliwa rasmi jana katika ofisi za makao makuu ya Airtel jijini Dar es saalam.
Meneja Uajiri na vipaji wa Airtel Bi Gabriella Kaisi akiongea wakati wa uzinduzi wa wiki ya Rasilimali watu iliyozinduliwa rasmi jana katika ofisi za makao makuu ya Airtel jijini Dar es saalam, Pichani ni manej katika kitengo cha rasilimali watu Airtel
wafanyakazi wa Airtel wakifatilia uzinduzi wa uzinduzi wa wiki ya Rasilimali watu iliyozinduliwa rasmi jana katika ofisi za makao makuu ya Airtel jijini Dar es saalam

Meneja Rasilimali watu Airtel Bi Sophia Melamari akiongea wakati wa uzinduzi wa wiki ya Rasimali watu uliofanyika katika Ofisi za makao makuu ya Airtel ambapo wafanyakazi watapata fulsa ya kupata elimu juu ya sera kuhusu mafao mbalimbali na haki yao za kimsingi na huduma nyinginezo zinazotolewa na kusimamiwa na kitengo cha Rasilimali watu, hafla ya uzinduzi huo imefanyika katika ofisi za Airtel Moroko leo