LUNDENGA AZUNGUMZIA UTATA WA UMRI WA MISS TANZANIA 2014 SITTI MTEMVU
Mkurugenzi wa Lino International Agency ambao ni Waandaaji wa mashindano ya Miss Tanzania,Hashim Lundenga (wapili kushoto) akifafanua kwa waandishi wa habari juu ya sakata la umri Miss Tanzania 2014,...
View ArticleAirtel yazindua wiki ya Rasilimali watu
Mkurugenzi wa Kitengo cha Rasilimali watu Airtel Tanzania Patric Foya akiongea wakati wa zinduzi wa wiki ya Rasimali watu uliofanyika katika Ofisi za makao makuu ya Airtel ambapo wafanyakazi...
View ArticlePRITORIUS JELA MIAKA 5 KWA KUUA BILA KUKUSUDIA
Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius amehukumiwa jela miaka 5 baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp. Hii ni baada ya mwanariadha huyo mlemavu kupatikana na hatia ya...
View ArticleMSANII WA BONGO FLEVA YP AFARIKI DUNIA
Msanii 'YP' toka kundi la TMK Wanaume Family amefariki dunia jana usiku katika hospitali ya Temeke ambako alikuwa akipatiwa matibabu akisumbiliwa na kifua kwa muda mrefu lakini hali ilikuwa mbaya...
View ArticlePATA NGOMA TANO ALIZOSHIRIKI MAREHEMU YP ENZI ZA UHAI WAKE
Umewaona - YP na Y DashKICHWA KINAUMA- TMK WANAUME FAMILYDAR MPAKA MORO- TMK WANAUME FAMILY TMK WANAUME FAMILY-UMRI YP na Y DASH- PUMZIKA
View ArticleTANZANIA NA CHINA WAFANYA PAMOJA MAZOEZI YA KIJESHI
Wanajeshi wa Tanzania wakifanya mazoeziMkuu wa operesheni na utendaji kivita wa JWTZ, Meja Jenerali James Mwakibolwa, (Wapili kulia), akitazama silaha ya kivita, wakati wa maonyesho ya zana za kijeshi...
View ArticleKAMPUNI YA MABIBO BEER WINES AND SPIRITS LIMITED YASISITIZA UTII WA SHERIA...
Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Limited, James Rugemalira (kushoto), akigongeana glasi na wakili maarufu wa kampuni hiyo, Michael Ngalo. Mkurugenzi...
View ArticleGARI AINA YA TOYOTA KLUGER INAUZWA
MODEL NI YA MWAKA 2002 TOYOTA KLUGERUWEZO WA ENGINE NI 2360 CCIMETEMBEA KILOMITA 170000BEI NI MILIONI 17 MAELEWANO YAPO MAWASILIANO NI 0713242888
View ArticleCOMPRESSOR INAUZWA
Compressor zipo mbili, model ni Ingersolrand 7/4, 4cylinder diesel engine , year 2005Kwa wanaohitaji wasiliana na 0655 598773
View ArticleTAASISI YA WANAWAKE NA MAENDELEO (WAMA) YAKABIDHI MAJENGO YA MADARASA SHULE...
Sehemu ya majengo yaliyokabidhiwa kwa Naibu Waziri Tamisemi,Kassim Majaliwa na Makamu Mwenyekiti WAMA Zakia Meghji (hawapo pichani) Naibu Waziri Tamisemi,Kassim Majaliwa na Makamu Mwenyekiti WAMA...
View ArticleY P AZIKWA
Marehemu Yesaya Ambikile Mwakalekamo 'YP' amezikwa hii leo katika makaburi ya Changombe jijini Dar es salaam.Marehemu YP alifariki jana baada ya kuugua kifua na kulazwa katika Hospitali ya Temeke hadi...
View ArticleSWEDEN YATOA BIL. 42/- KUSAIDIA MIRADI UN
Balozi wa Sweden nchini Tanzania Mh. Lennarth Hjelmaker (kulia) na Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro...
View ArticleRAIS KIKWETE ATUNUKIWA UPROFESA NCHINI CHINA
Rais Jakaya Kikwete akitunukiwa uprofesa wa heshima kutoka Chuo Kikuu cah Kilimo China jijini Beijing. Kushoto ni Mwenyekiti wa Baraza la Chuo hicho, Jiang Peimin na kulia ni Rais wa Chuo hicho...
View ArticlePSPF YATOA ELIMU KWA WAJUMBE WA IDARA YA UTUMISHI WA WALIMU NCHINI
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akitoa hotuba ya ufunguzi wa semina ya siku moja kwa wajumbe wa idara ya utumishi wa walimu kutoka mikoa yote ya Tanzania Bara iliyofanyika...
View ArticleTAJI LA MISS TANZANIA 2014 KUUNDIWA TUME
Mshindi wa taji la Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu huenda akavuliwa taji hilo kama serikali kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo na Baraza lake la Sanaa la Taifa ambalo ndio...
View ArticleWajumbe wa idara ya utumishi wa walimu watembelea nyumba za PSPF zilizopo...
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Neema Muro, (Kushoto), akizungumza na baadhi ya wajumbe wa idara ya utumishi wa walimu, kwenye eneo la mradi wa nyumba za Mfuko huo eneo la...
View ArticleNAIBU WAZIRI MAZINGIRA UMMY MWALIMU AFANYA ZIARA MASOKO YA TANDALE NA TEMEKE...
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu (katikati) akiwa katika ziara kukagua soko la Temeke la Stereo. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Temeke Protidas Kagimbo....
View Article