Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Florens Turuka akisisitiza jambo wakati akiongea na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali nchini, mara baada ya kufungua mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu leo, mjini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiwa katika mkutano wa Baraza hilo leo, mjini Dodoma.
Wajumbe wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakisoma nyaraka za mkutano wa Baraza hilo leo, mjini Dodoma.
Wajumbe wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakisoma nyaraka za mkutano wa Baraza hilo leo, mjini Dodoma.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Florens Turuka (walio kaa mwenye miwani) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu mara baada ya kufungua Mkutano huo, leo, mjini Dodoma