KOMBE LA TAIFA MPIRA WA PETE- DODOMA YAIPA KICHAPO CHA 35-18 KINONDONI
Michuano ya mpira wa Pete (Netball) Taifa yanaendelea katika viwanja vya Sigara Changombe Jijini Dar es salaam na leo hii jioni palishuhudiwa mchezo kati ya Dodoma na Kinondoni ambapo mashabiki wa...
View ArticleREA AWAMU YA PILI KUKAMILIKA JUNI KWA VIJIJI 1,500 KUPATIWA UMEME
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akisisitiza jambo kwenye mkutano na wananchi wa kata ya Ijitu iliyopo wilayani Busega.Sehemu ya umati wa wananchi wa kata ya Kalemala wilayani...
View ArticleKAMANDA MPINGA ATOA ONYO KWA WAMILIKI WA MITANDAO YA KIJAMII
Kamanda Kikosi cha Usalama BarabaraniMohamed Mpinga Na Mwandishi WetuKAMANDA wa Kikosi cha Usalama Barabarani (Trafic), Mohamed Mpinga , ameonya wamiliki wa mitandao ya kijamii kuacha kusambaza...
View ArticleKINANA AHUTUBIA MKUTANO MKUBWA TANGA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa maalumu kwa ajili ya kuwapongeza wananchi kuwachagua viongozi wa CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
View ArticleJASIRI HAACHI ASILI: MBUNGE MAIGE AKIKAMUA MAZIWA
MBUNGE wa Jimbo la Msalala, Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga, Ezekiel Magolyo Maige akikamua maziwa hivi karibuni Kijijini kwake Segese wakati wa mapumziko ya mwaka mpya. Ufugaji ni moja ya vitu...
View ArticleEWURA YASHUSHA BEI YA MAFUTA NI KUANZIA KESHO JANUARI 7,2015
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (Ewura), Felix Ngamlagosi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo, kuhusu...
View ArticleRIDHWANI KIKWETE AENDELEA NA ZIARA YAKE CHALINZE
Ridhiwani akihutubia wananchi katika Kitongoji cha Chalinze Mzee wakati wa ziara ya kuwashukuru wananchi na kusikiliza kero zao pamoja na kuwashuru kwa kumchagua, pia alisema atatumia unasheria wake...
View ArticleMWENYEKITI WA MTAA WA MASAKI APONGEZWA KWA USHINDI
Mwenyekiti Mpya wa Serikali ya Mtaa wa Masaki,Kinondoni Jijini Dar es Salaam,Ndg. Kimweri Mhita (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wazazi wake,Dkt. Mohamed Mhita (kushoto) na Mh. Zabein Mhita...
View ArticleKAMATI YA BUNGE YA LAAC YARIDHISHWA NA HESABU ZA MANISPAA TEMEKE NA...
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za mitaa (LAAC), Bw. Rajabu Mohamed Mbaruku (kulia) akizungumza jambo wakati wa kikao chao cha kamati na watendaji wa Manispaa ya Temeke, Dar es...
View ArticleLAURIAN CHOLOBI NA FELISTER SANGA WALIVYOMEREMETA SIKU YA NDOA YAO
ILIKUWA ni siku ya furaha sana kwa Laurian Cholobi na mkewe Felister Sanga wakiwa na furaha baada ya kufunga ndoa yao takatifu katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Immaculata parokia ya Upanga, Dar es...
View ArticleVIJANA PIGANIENI FURSA ZA MLIMA KILIMANJARO
VIJANA wa mkoa wa Kilimanjaro wametakiwa kusimama imara na kudai fursa mbalimbali zikiwamo za kupewa kipaumbele katika ajira zinazotokana na mlima Kilimanjaro.Kauli hiyo ilitolewa jana jijini na Naibu...
View ArticleMWIGULU AADHIMISHA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA KUTEMBELEA YATIMA, WAGONJWA NA...
Naibu Waziri wa Fedha,Mwigulu Mchemba leo ameadhimisha miaka 40 tangu kuzaliwa kwake. Katika maadhimisho hayo Naibu waziri huyo ambaye pia ni Mbunge wa Iramba Magharibi ameitumia siku hiyo ya leo kwa...
View ArticleAG MASAJU: WATUMISHI WA UMMA TUFANYE KAZI KWA UZALENDO
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju (kushoto) akikaribishwa Wizara ya Katiba na Sheria kwa shada la maua kutoka kwa mtumishi wa Wizara Bi. Christina Jenga leo (Jumatano, Januari 7, 2015)...
View ArticleNYALANDU: SINA UBAGUZI WA DINI YEYOTE WALA KABILA
SIKU ya Mkesha wa Mwaka Mpya, Desemba 31, 2014, nilikaribishwa kushiriki ibada ya Mkesha na Baba Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ephata, Josephat Mwingira, iliyofanyika Kibaha mkoani Pwani. Mkesha huo...
View ArticleUANDIKISHAJI WA VITAMBULISHO VYA KUPIGA KURA VIPYA KUANZA FEBRUARI MWAKA HUU
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Florens Turuka akisisitiza jambo wakati akiongea na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali nchini, mara baada ya kufungua mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa...
View ArticleMFUMUKO WA BEI WA TAIFA WAENDELEA KUPUNGUA
Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Ndugu. Ephraimu Kwesigabo akitoa taarifa ya kupungua kwa mfumuko wa bei nchini kwa mwezi Desemba, 2014 leo jijini Dar es...
View ArticleMAELEZO BADILISHENI MFUMO WA UTOAJI PRESS CARD
WASOMAJI na wadau wangu nawasalimu na naimani kuwa Mwenyezi Mungu ametujalia tumeuona mwaka mpya wa 2015 salama salmini. Nawatakia heri na fanaka katika mwaka huu pia na karibuni tena katika porojo...
View ArticleUTT- PROJECTS & INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT PLC NA TPC ZATILIANA SAINI MKATABA...
Afisa Mtendaji Mkuu wa UTT Project and Infrastructure Development Plc, Dk Gration Kamugisha (kushoto), akizungumza na Posta Masta Mkuu na Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Deos...
View ArticleKUMBUKUMBU YA CASSIAN KIGESO MALIMA
CASSIAN KIGESO MALIMANi kama jana tu lakini tayari leo imetimia miaka 6 tangu Mpendwa wetu Cassian Kigeso Malima ulipotutoka ghafla jioni ya tarehe 9 Januari 2009 katika hospitali ya Aga Khan, Dar es...
View Article