Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10609

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchini za Nje akutana na Balozi wa Marekani nchini

$
0
0
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchini za Nje na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kulia) akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Tanzania,Mh. Mark Childress walipokutana kwenye hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam leo Januari 15,2015.
Balozi wa Marekani nchini Tanzania,Mh. Mark Childress akiongea kwa kusisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchini za Nje na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa walipokutana kwenye hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam leo Januari 15,2015.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchini za Nje na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisisitiza jambo wakati akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Tanzania,Mh. Mark Childress walipokutana kwenye hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam leo Januari 15,2015.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10609

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>