Quantcast
Channel: Father Kidevu
Browsing all 10588 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI MARA YAZUIWA KUCHEZA UWANJA WA KARUME MUSOMA

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeizuia timu ya Polisi Mara kutumia Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume mjini Musoma kwa mechi zake za Ligi Daraja la Kwanza (FDL) kuanzia leo mpaka hapo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FLAVIANA MATATA FOUNDATION YATOA VIFAA VYA SHULE SHULE YA MSINGI MSINUNE

Taasis ya Flaviana Matata  'FMF' ya Mwanamitindo  Flaviana Matata aishie New York ,Nchini Marekani.   Mwaka jana ilisaidia watoto 3000 kwa kuwapa vifaa vya kujifunzia.Mwaka huu itaendelea kuwasaidia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASANGA COMMUNITY TAKES A STAND AGAINST FGM

 UNFPA Tanzania - Masanga Community Takes A Stand Against FGM from Mandela Gregoire on Vimeo.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CONVENANT BANK NA AAR KUANZISHA AKAUNTI YA BIMA YA AFYA KUSAIDIA WAJASIRIAMALI

 Meneja Mauzo wa AAR Insurance Bibi Tabia Massudi akiwaelezea wajasiriamali kuhusiana na Bima ya afya ya AAR kwenye mkutano wao na Wajasiriamali. Mkurugenzi wa Bank ya Convenant,Bibi Sabetha Mwambenja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKURUGENZI WAWILI WAPANDA KIZIMBANI KWA SAKATA LA ESCRWOW

Na Father Kidevu BlogMkurugenzi wa masuala ya sheria wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Rugonzibwa Mujunangoma na Mhandisi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Theophil Bwakea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA MAENDELEO YA TAKWIMU AFRIKA WAENDELEA NCHINI UGANDA

Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Takwimu Rasmi kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika kilichopo Changanyikeni Dar es Salaam Bi. Oloumi Olatunde kutoka Nigeria akiwasilisha mada kuhusu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MSTAAFU WA BOTSWANA MH. FESTUS MOGAE ATEMBELEA TAASISI YA UONGOZI

 Rais mstaafu wa Botswana Mh. Festus Mogae (kushoto) akipokelewa na Afisa Mtendaji Mkuu wa UONGOZI Institute Profesa Joseph Semboja pale kiongozi huyo mstaafu alipotembelea ofisi hiyo iliyo chini ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchini za Nje akutana na Balozi wa...

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchini za Nje na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kulia) akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Tanzania,Mh. Mark Childress...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIBANDA KIPYAAAA CHALA GREDA JIJINI DAR

Kibanda kipya cha Biashara kilicho kuwa kikijengwa na kufikia tamati katika bustani za Samora jijini Dar es Salaam kimekula tinga tinga la jiji hii leo baada ya kubainika ujenzi wake haukufuata...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPOTO AKUTANA NA LOWASSA JIJINI DAR

Mbunge wa Monduli na waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akiwa na Nguli wa kughani mashairi nchini, Mrisho Mpoto 'Mjomba' kwa m,azungumzo katika ofisi ya Mbunge huyo jijini Dar es Salaam leo.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kampuni ya Proin Promotions yazindua rasmi mpango wa kuuza filamu zake...

 Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Mh Dkt Fenella Mukangara akisoma hotuba fupi wakati wa hafla iliyoandaliwa na Kampuni ya Proin Promotions Ltd kwaajili ya Kuzindua Huduma ya Kuuza Filamu...

View Article

MKUTANO MKUU WA NNE WA WADAU WA PSPF MJINI DODOMA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARI ZA SOKA KUTOKA TFF HII LEO

MICHUANO YA KOMBE LA TAIFA YAINGIA RAUNDI YA PILIMichuano ya Kombe la Taifa kwa Wanawake inaingia raundi ya pili kesho (Januari 17 mwaka huu) kwa mechi za kwanza za raundi hiyo zitakazochezwa katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete ahudhuria sherehe za Kumuapisha Rais Mpya wa Msumbiji

Rais Mpya wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi akila kiapo cha urais kuiongoza nchi ya Msumbiji jijini Maputo Msumbiji leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Rais Mpya wa Msumbiji Filipe Jacinto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pata Filamu ya Lulu, Kupitia Mtandao

Kununua au Kuangalia Filamu Hii unaweza fuata kiunganishi hiki http://www.proinpromotions.co.tzTo watch online or to buy this movie just click the cover photo or follow this link...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFDA YAFANYA WARSHA YA SIKU MBILI KUHUSU UTEKELEZAJI WA KAZI ZA UFUATILIAJI...

 Meneja Idara ya Majaribio na Usalama wa Dawa wa TFDA, Bi. Kissa Mwamwitwa  (aliyesimama), akimtambulisha Mgeni Rasmi, Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Samson Tarimo (katikati)...

View Article

WAJUE WAJUMBE WA BODI YA TANESCO

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DORIS MOLLEL KATIKA UZINDUZI WA BWENI LA KWANZA KWA WATOTO WA JAMII YA...

Miss Singida ambaye pia ni Kanda ya Kati 2014/15,Doris Mollel (wa pili kushoto) akiongea na waandishi wa habari wakati alipohudhuria kwenye hafla ya ufunguzi wa bweni jipya maalum kwa watoto wa jamiii...

View Article

MNYIKA: NA HARAKATI ZA KUDAI MAJI JIMBO LA UBUNGO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAJI MUTUNGI AVIONYA VYAMA VYA SIASA VINAVYOENDEKEZA MIGOGORO

Hivi Karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la Migogoro ndani ya vyama vya Siasa. Jambo hili linaleta Taswira mbaya kwa jamii, hasa kipindi hiki ukielekea katika uchaguzi Mkuu wa nchi.Athari za migogoro hii...

View Article
Browsing all 10588 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>